Kisa cha mzee Yusuph

Kisa cha mzee Yusuph

Basi kama mziki wa taarabu kwake ni dhambi aache Mali zote alizozichuma kutokana na hii dhambi vinginevyo hajafanya lolote na hii dhambi itamtafuna milele
Hahaha hapana kiongozi muhshimiwa bhana Password sio kweri kwamba yamlazimu kuziacha mali alizozipata ktk muziki kwakuwa milango ya toba bado haijafugwa ni wajibu wetu kumlejea mola wetu ama yale yaliyopita mola wetu ni mwingi wa kusamehe lau kama ingekua kazurumu kwa mtu basi hapo tungemwambia amrufishie kwanza aliemzurumu kisha ndio atubie ama yaliyopita yamepita
 
Basi tusimchezee mungu kwa kufanya uhuni kwa makusudi kwa kuwa tunajua tunauwezo wa kufanya toba na akatusamehe.mwenyezi mungu ni mkubwa wa haki na mwingi wa rehema na kiumbe awae yeyote asimjaribu.
 
Mkewe bado anaimba taarab akipata mapato c yatarud ndani ya nyumba?
Na pia nyimbo nyingi za mke yeye hua ni mtunzi na au mpiga kinanda, kwahy ndo tuseme vyote hivi hatofanya?
 
NI HARAM ISIPOKUA TUNATOFAUTIANA KI MADHEHEBU

KWA SISI SUNI NI HARAM
Umemjibu kwa ujumla sana mkuu. anaweza akatatizika sana kama si muislam ni vyema ungemuelekeza uharamu wa qaswida unakuja vipi na wapi inakuwa halali.
 
Hazikuwa habari njema sana siku mzee Yusuph gwiji wa taarab za kileo pale alipotangaza rasmi kuachana na mziki huu na kumrudia Mola wake...
Habari zilienea kwa kasi na mijadala ilikuwa mingi..! Wengi wakimpongeza kwa hatua yake hiyo
Mimi napingana naye...kilichomfanya aachane na huo muziki(kwa tafsiri yake ni dhambi kwa imani yake)hili ni tusi na dhikaha kwa mziki huu adhimu...lakini yametokea haya kulingana na mahitaji ya nyakati na kile alichokuwa anafanya
Kiuhalisia mziki wa mwambao(taarab) ni mziki wa asili wenye kuheshimika mno ambao kiasili ulitumika kuelimisha kuonya kufundisha kuburudisha na kufurahisha, haukuwa na matusi vijembe dhihaka wala mambo ya kishetani
Miaka ile ya 1987 ndio taarab ilianza kubadilika na kupoteza mwelekeo...ujio wa Khadija Kopa (malkia wa mipasho) na Nasma Khamis Kidogo RIP kulibadilisha mwelekeo mzima wa taarab
Leo hii taarab ni mziki wa kusutana na mambo yote mabaya..ikuwemo ushoga umalaya bifu kusemana wazi wazi nk...
Mzee Yusuph ajiuzulu tu kwa matendo yake na nyimbo zake za kishetani lakini asihusishe na mziki huu adhimu wa taarab sio haki
Ww mwehu kweli,kiislamu muziki wowote na haramu na haufai,iwe unaimbwa kwa ustaarabu au kwa fujo bado ni haramu tu,uwe unaelimisha au unapotosha bado mziki huo ni haramu tu as long as unapiga ala na midundo yoyote ktk huo muziki,kitu kinachokubalika ni mashairi ya kuelimisha yasiyo na ala wala kinanda,wala ngoma,wala cjui gitaa cjui kitu gani.yani iwe MTU anaimba shairi lake la kuelimisha bila aina yyt ya mdundo,...HONGERA SANA MZEE YUSSUF KWA UAMUZI WAKO,MUNGU AKUJAALIE IMANI NA PIA AKUJAALIE URUDI SALAMA HIJA YAKO SAUDIA.
 
Pamoja na kuwa mwehu lakini ukweli bado unabaki kuwa ukweli...sasa hivi mnakuja na reply kama hizi baada ya yeye kuongea lakini kabla ya hapo hakuna aliyethubutu kuongea
 
Hakuna nilipotaja imani yake tafadhali sana BAFA usipotoshe! Nilichoandika mimi ni kutaka kutetea music wa taarab usiingize virus kwenye hii post
Ww utetee muziki WA taarab kwa kuwa unaupenda we we,na kuupenda wewe muziki WA taarabu usitafute ujanja WA kuufanya kuwa ni muziki halali ulioruhusiwa na Mungu,..hata kama shekhe anausikiliza usifikiri ndio umehalalishwa,Bali Hugo shekhe ni mwanaadamu pia na atakuta dhambi zake,....narudia tena kusema ktk uislamu muziki wowote ni haramu iwe taarabu ,iwe bolingo,iwe bongo cjui fleva,yoote ni haramu.hata kaswida ambazo wtt WA kike wanacheza cheza kwa kijitupa tupa Nazo pia hazifai,waimbe kaswida zao kwa ustaarabu na wanawake wasipaze sauti zao na pia wasionyeshe nyuso zao hadharani kila mwanaume akawaona.HUO NDIO UISLAMU ALOTUFUNDISHA MTUME S.A.W.W
 
Ww utetee muziki WA taarab kwa kuwa unaupenda we we,na kuupenda wewe muziki WA taarabu usitafute ujanja WA kuufanya kuwa ni muziki halali ulioruhusiwa na Mungu,..hata kama shekhe anausikiliza usifikiri ndio umehalalishwa,Bali Hugo shekhe ni mwanaadamu pia na atakuta dhambi zake,....narudia tena kusema ktk uislamu muziki wowote ni haramu iwe taarabu ,iwe bolingo,iwe bongo cjui fleva,yoote ni haramu.hata kaswida ambazo wtt WA kike wanacheza cheza kwa kijitupa tupa Nazo pia hazifai,waimbe kaswida zao kwa ustaarabu na wanawake wasipaze sauti zao na pia wasionyeshe nyuso zao hadharani kila mwanaume akawaona.HUO NDIO UISLAMU ALOTUFUNDISHA MTUME.
Siku nyingine andika taratibu kwa tuo kuepuka kuonekana umehemka na hata kuwa na makosa mengi ya kisarufi na kiuandishi
Naona sasa tunataka kupeleka mjadala vichakani...kwa muktadha wako unaweza kuwa sawa lakini tafsiri yake ni nini kama yeye kaacha lakini mkewe bado anaendelea?
 
Sawa umesomeka,hayo ni mapungufu yangu ya kuuandishi,lkn walonielewa wamenielewa,na wasionielewa wataniwia radhi.hilo la mke linabaki kuwa tatizo lingine kubwa,lkn pia huwez kumwacha ghafla kisa kakataa kuacha muziki,. Kuna hatua za kufuata ikiwemo kuendelea kumshawishi kwa muda na pia kutolala nae kitanda kimoja.km itashindikana kabisa hapo ndio ndoa inaweza ikavunjika,lkn sio ghafla hivyo mkuu. Pengine mzee bado anamshawishi mke
 
Mungu wangu unyama ulioje huo kuacha tunda zuri kama lile lilale peke yake 6×6?[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] pengine ndio utaratibu lakini yataka moyo tena moyo hasa kuliko hata ule uamuzi wa kuacha kuimba[emoji39] [emoji39] [emoji15] [emoji2]
 
Hazikuwa habari njema sana siku mzee Yusuph gwiji wa taarab za kileo pale alipotangaza rasmi kuachana na mziki huu na kumrudia Mola wake...
Habari zilienea kwa kasi na mijadala ilikuwa mingi..! Wengi wakimpongeza kwa hatua yake hiyo

Mimi napingana naye...kilichomfanya aachane na huo muziki(kwa tafsiri yake ni dhambi kwa imani yake)hili ni tusi na dhikaha kwa mziki huu adhimu...lakini yametokea haya kulingana na mahitaji ya nyakati na kile alichokuwa anafanya
Kiuhalisia mziki wa mwambao(taarab) ni mziki wa asili wenye kuheshimika mno ambao kiasili ulitumika kuelimisha kuonya kufundisha kuburudisha na kufurahisha, haukuwa na matusi vijembe dhihaka wala mambo ya kishetani
Miaka ile ya 1987 ndio taarab ilianza kubadilika na kupoteza mwelekeo...ujio wa Khadija Kopa (malkia wa mipasho) na Nasma Khamis Kidogo RIP kulibadilisha mwelekeo mzima wa taarab

Leo hii taarab ni mziki wa kusutana na mambo yote mabaya..ikuwemo ushoga umalaya bifu kusemana wazi wazi nk...
Mzee Yusuph ajiuzulu tu kwa matendo yake na nyimbo zake za kishetani lakini asihusishe na mziki huu adhimu wa taarab sio haki
Mkuu naona unataka kuunganisha uislam na utamaduni, uislam unajitenga na kila kitu, usifanye kitu kisa ni utamaduni wako ila ukija kwenye dini ni haraamu, mziki ni haramu katika uislam, kwaio hata hio taarabu ni haramu maana ipo nje ya misingi ya kiislam
 
Hivi nyie watu hamjui kuchambua kilichoandikwa? Nini maana ya kuitwa GT? Hivi umeona hayo mabano au? Na ni wapi nimeutaja Uislam?
 
Mkuu ulivyosema "asihusishe mzik huu adhimu wa taarabu na kustaafu kwake" ndio na mie nkasema kwa imani yake mziki ni HARAMU haijalishi uwe una maudhui gani hata kama angekua anaimba kuhusu sijui vitu gani vuzuri ila inabaki pale pale kuwa mziki ni HARAMU, hicho ndio mie nilichokipinga kwenye hilo Bandiko lako.(no hard feelings). Ila dini imeruhusu mashairi ila sio kwa kutumia vyombo vya muzik labda cha kumshauri mzee yusuph aanze kuimba nasheed.
 
Back
Top Bottom