Ww utetee muziki WA taarab kwa kuwa unaupenda we we,na kuupenda wewe muziki WA taarabu usitafute ujanja WA kuufanya kuwa ni muziki halali ulioruhusiwa na Mungu,..hata kama shekhe anausikiliza usifikiri ndio umehalalishwa,Bali Hugo shekhe ni mwanaadamu pia na atakuta dhambi zake,....narudia tena kusema ktk uislamu muziki wowote ni haramu iwe taarabu ,iwe bolingo,iwe bongo cjui fleva,yoote ni haramu.hata kaswida ambazo wtt WA kike wanacheza cheza kwa kijitupa tupa Nazo pia hazifai,waimbe kaswida zao kwa ustaarabu na wanawake wasipaze sauti zao na pia wasionyeshe nyuso zao hadharani kila mwanaume akawaona.HUO NDIO UISLAMU ALOTUFUNDISHA MTUME.