Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Shule za kata ni sheedaTaarabu sio lugha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule za kata ni sheedaTaarabu sio lugha
Shule za kata ni sheeda
hata uchawi kaufanya sanaKweli mshana hamna uhuni ambao hajaufanya acha tu amludie Mungu na kwenda makka kuhiji
mhhhh kuna profesa nafsi ilimsuta baadae akaona bor arud sasa huyu mfalme najua atarud tuKilichomfanya aache huu music sio taarab as taarab tunayoijua sisi...taarab ile ambayo ilipamba sherehe zenye adabu na staha, taarab zile zinazoalikwa kwenye dhifa za kitaifa kutumbuiza kwa hekima na hekima
Huyu kaamua kuachana na taarab hii ya kisasa na matendo yake mabaya huko kwenye hizo taarab za kileo na yale matusi aliyokuwa anaimba...mwisho wa siku nafsi yake imani yake vimemsuta amejikuta anakinzana navyo
Hata wewe una kashfa pia usimseme mwenzako tu anza na zako kwanzaUyu mzee ana makashfa uyu bora tu alivyoamua mludia Mungu
WW NDIO HUELEWI SIO KAMA HUJAELEWEKAKumbe ni wengi ambao hawakunielewa
kabisa yaani bora alivyoongoka mapema!Uyu mzee ana makashfa uyu bora tu alivyoamua mludia Mungu