Kisa cha mzee Yusuph

Ni kiki tu na albam yake ilizinduliwa week zilizopita travertine na kundi lake
Hilo ni kundi,lkn si yy,je yy alikuwepo wakati wanazindua?,kwani kundi lote limeacha muziki?aliyeacha muziki ni yy tu
 
Huyu jamaa alisema ametubu na nyimbo zake zisipigwe kwenye media na sehemu nyingine, lakini mbona zinapigwa kila siku kwenye media mbalimbali? Au ilikuwa ni Kiki tu za kisanii?
Alitoa ombi tu,kuwa anaomba nyimbo zisipigwe lkn maadam zinaendelea kupigwa yy hana kosa mkuu.
 
Hizi dini ni mizigo tu hasa kwetu sisi waafrika yaani watu wamejazwa uoga mpaka wanashindwa kuishi maisha yao. Huu upuuzi ulioletwa na wazungu na waarabu umetuharibu Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…