mmash
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 832
- 1,237
Hilo ni kundi,lkn si yy,je yy alikuwepo wakati wanazindua?,kwani kundi lote limeacha muziki?aliyeacha muziki ni yy tuNi kiki tu na albam yake ilizinduliwa week zilizopita travertine na kundi lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ni kundi,lkn si yy,je yy alikuwepo wakati wanazindua?,kwani kundi lote limeacha muziki?aliyeacha muziki ni yy tuNi kiki tu na albam yake ilizinduliwa week zilizopita travertine na kundi lake
Alitoa ombi tu,kuwa anaomba nyimbo zisipigwe lkn maadam zinaendelea kupigwa yy hana kosa mkuu.Huyu jamaa alisema ametubu na nyimbo zake zisipigwe kwenye media na sehemu nyingine, lakini mbona zinapigwa kila siku kwenye media mbalimbali? Au ilikuwa ni Kiki tu za kisanii?
Mh! Kashfa gani tena?Uyu mzee ana makashfa uyu bora tu alivyoamua mludia Mungu
Mshana unasikilizaga taarabu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]