Kisa cha Panya

Cecil J

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2023
Posts
434
Reaction score
1,024


Hapa wana mazingira wanaona madhara ya matumizi ya chakula chenye makeni ambacho sasa kinakimbiliwa na wanyama.

Wahuni wanaona panya mwizi.

Waporini wanaona nyama

Na ma legend wa IT wanaona picha isiyo na ubora.

Watemi wanaona huu uzi ni wa hovyo na wanalaumu kwanini wameufungua
 
Wachawi wanaona mwanga akifanya yake kwa kutumia panya😀
 
Watu wa psychology wataona unahitaji therapy session
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…