Cecil J
JF-Expert Member
- Oct 12, 2023
- 434
- 1,024
Hapa wana mazingira wanaona madhara ya matumizi ya chakula chenye makeni ambacho sasa kinakimbiliwa na wanyama.
Wahuni wanaona panya mwizi.
Waporini wanaona nyama
Na ma legend wa IT wanaona picha isiyo na ubora.
Watemi wanaona huu uzi ni wa hovyo na wanalaumu kwanini wameufungua