mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Tunaendelea na simulizi ya kweli ya Rais John Pompeo na swahiba wake David Albeet Basheet
Baada ya Rais Pompeo kuingia madarakani alitengeneza chamandani ya chama kwa kutoa wenye chama na kupachika watu wake,akatengeneza serikali kivuli isiyo rasmu ndani ya serikali yake.
David Albeet Basheet akawa mkuu wa serikali bandia ndani ya serikali kuu,
Akaanzisha kampenii ya madawa ya kulevya kwa kukamata na kutisha wauza unga wa kisiwa hicho cha bahari ya Hindi.
Mabegi ya fedha yakawa yakawa yanapelekwa kwake na wauza unga baada ya kurishiwa kufungwa.
Kumbuka zao kuu la nchi hiyo ni korosho na serikali ya kisiwa hicho ikilisimamia swala hilo kikajikuta kina upungufu wa magunia ya kuhifadhia hizo korosho.
Serikali ikaomba msaada wa magunia toka kwa mfanyabiashara maarufu nchini humo. Tofauti na matarajio yao yule mfanyabiashara akakataa kwa madai ya kuwa anaidai serikali pesa nyingi.
David Albert akaingia kazini kwa kumteka huyo mfanyabiashara na kudai ransom ya bilioni moja ili kumkomoa.familia ya mfanyabiashara ikazitafuta hizo fedha nakumkabidhi bwana Basheet.
Basheet kwa tamaa yake akatia ndani pesa zote bila kupeleka mgao kwa bosi wake Bwana John Pompeo,hali hiyo ilimkasirisha sana Rais Pompeo
Itaendelea.....