Kisa cha Rais Magufuli na Rais wa TUCTA aliyekuwa na vyeti Feki

Kwa maana kisasi ni juu yangu asema "BWANA WA MAJESHI"
 
Ya hivyo hayiwezi kupatikana Leo Wala kesho kwa sababu , wenye Nchi hawajaona uhitaji wake.

Kila wakigeuka nyuma nakutazama katiba hii tulio nayo inavyo siginwa wanakosa moral ya kuiboresha au kuja na hiyo mpya.

Hapo ndipo wanasiasa wanapo tumia mwanya huo Kuja na katiba Yao , yenye kusheheni nguvu zakugawana madraka , Huku mtawaliwa akiachwa bila chake.
 
Siyo mjmu wala wewe atakayechukua hatua.
Amini nakuambia wanyonge hawa wataamka soon
 
Kawaida sisi siku zote huwa tunapigania masilahi ya wanasiasa tu.
 
Yeye kila kitu ilikuwa ni fekero.
Jina feki.
Upendo feki.
Huruma feki.
PhD. feki.
Kicheko feki.
Furaha feki.
Huzuni feki.
Uzalendo feki.
Uzuri aliwajibikia na serikali yake ndio maana hadi sasa bado analaumiwa kwa yale yaliyoonekana kutokuwa sahihi chini ya uongozi wake, sasa ni tofauti na sasa ambapo Samia yeye hawajibiki kwa lolote ndio maana lawama zote huishia kwa mawaziri wake tu na yeye hukuti hata kuzungumzia hayo malalamiko.
 
Hizo stori za kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Mbn yey mwenye alikuwa na PhD feki alipo hojiwa na kijna mmoja wa CDM Yule kijana hayupo mpk sas ajulikani aliko
 
..kwa Tundu Lissu ndio waligonga kisiki.

..walitafuta kashfa dhidi yake wakakosa.

..wakamtishia makesi hakutishika.

..wakaamu kumfurumushia marisasi ili afe.
Lissu ni Mr Clean la sivyo alishaozea Jela kitambo. Same as Mbowe ni Bilionaire ambaye makampuni yake hayana kashfa kabisa . Nje ya hapo wangemnyonyoa hadi nywele.
 
Uzi wa moto huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…