Lissu ni Mr Clean la sivyo alishaozea Jela kitambo. Same as Mbowe ni Bilionaire ambaye makampuni yake hayana kashfa kabisa . Nje ya hapo wangemnyonyoa hadi nywele.
ila haya mambo inawezekana yakawa kweli kwasababu utawala ule nimewahi kushuhudia mzee mmoja pale mtwara mamlaka inamwambia atanyang'anywa korosho zake kama tani 50 alizovuna shambani kwake na atapewa kesi ya ununuaji kangomba kisa tu alikataa kutoa mchango wa mafuta kwa msafara wa CCM mkoa