Kisa cha Rais Magufuli na Rais wa TUCTA aliyekuwa na vyeti Feki

Kisa cha Rais Magufuli na Rais wa TUCTA aliyekuwa na vyeti Feki

Lissu ni Mr Clean la sivyo alishaozea Jela kitambo. Same as Mbowe ni Bilionaire ambaye makampuni yake hayana kashfa kabisa . Nje ya hapo wangemnyonyoa hadi nywele.
Yaani mbowe angekuwa mtu wa konakona kwenye biashara zake ngepewa kesi mbaya ya kuhujumu uchumi
 
Inasikitisha sana
ila haya mambo inawezekana yakawa kweli kwasababu utawala ule nimewahi kushuhudia mzee mmoja pale mtwara mamlaka inamwambia atanyang'anywa korosho zake kama tani 50 alizovuna shambani kwake na atapewa kesi ya ununuaji kangomba kisa tu alikataa kutoa mchango wa mafuta kwa msafara wa CCM mkoa
 
Tuishi maisha ya amani na upendo, tusimnyanyase mtu, tusimnyanyapae mtu, tusiue, tusiibe, tusiseme uongo sababu maisha ya hapa Duniani ni mafupi sana.
 
Back
Top Bottom