Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Unakisia tu huna uhakika...punguza kuwananga waliofanikiwa hata kama hawapo kwenye ubora waoMzee baba mbona unadharau kwa mtu ambaye humjui alafu mbona liko wazi WCB wameshawasaini wasanii wawili teyali na diamond mwenyewe ndo amesema.Me kusema Mavoko amechelewa sijasema tu kimakosa angalia wote waliotoka Wasafi Kama Kuna mtu yoyote amewahi kurudishwa mfano mzuri qboy msafi.
Na inabidi hasiende marekaniHapo kwa demu wako Bank Teller tu, Jamaa ako ni Jasusi tena Gaidi zaidi ya Bashite.
huu ndio utakuwa ugomvi behind the sceneswatu walimchapia mpaka demu wake ..Mondi mnoko sana
Sasa rich mavoko aana demu gani wa kuchapiwa?acha masihala
Pole mkuu!!!KWELI NDUGU..LEO MM SINA MKE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo kwa demu wako Bank Teller tu, Jamaa ako ni Jasusi tena Gaidi zaidi ya Bashite.
Kijana apambane asije letewa post kama hii!!!
Huyo Lulu Diva hata wew ukitaka unamchapa tu juu ya bodaboda chochoroniwatu walimchapia mpaka demu wake ..Mondi mnoko sana
Sahihi kabisa.Watu wengine wamekumbwa ili wawe mifano mingi kwa wengine.
Graph yake inadrop sik had siku,japo watu wanaona kupewa ubalozi wa Sayona kuwa bado yuko juu....hKijana apambane asije letewa post kama hii!!!
Itakuwa yule Diva divana,tuache utani chombo sana yule bintiSasa rich mavoko aana demu gani wa kuchapiwa?acha masihala
Demu wake anaitwa fey mweusi Sana alafu mrefu alafu Hana mvuto na Kuna kipindi waliingia kwenye mzozo baada ya rich Mavoko kuchepuka na Gigy money.Huyo diva hajawahi kutoka kimahusiano na Mavoko Bali ukaribu wao ulikuwa wa kikazi ndo wakatoa ngoma moja hiv nimelisahau jina baada ya hapo kukawa hakuna ukaribu kiufupi Mavoko hajui kuchagua mademu wa kali huyo demu wake fey ukinipa ata nioe bure sioi shape Hana, sura ya baba.Itakuwa yule Diva divana,tuache utani chombo sana yule binti
AaàaaaaaaaaDemu wake anaitwa fey mweusi Sana alafu mrefu alafu Hana mvuto na Kuna kipindi waliingia kwenye mzozo baada ya rich Mavoko kuchepuka na Gigy money.Huyo diva hajawahi kutoka kimahusiano na Mavoko Bali ukaribu wao ulikuwa wa kikazi ndo wakatoa ngoma moja hiv nimelisahau jina baada ya hapo kukawa hakuna ukaribu kiufupi Mavoko hajui kuchagua mademu wa kali huyo demu wake fey ukinipa ata nioe bure sioi shape Hana, sura ya baba.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo kwa demu wako Bank Teller tu, Jamaa ako ni Jasusi tena Gaidi zaidi ya Bashite.
kwan mafanikio n nnUnakisia tu huna uhakika...punguza kuwananga waliofanikiwa hata kama hawapo kwenye ubora wao