Kisa cha Rich Mavoko na ushauri wa kuuza Ruby

Kisa cha Rich Mavoko na ushauri wa kuuza Ruby

Dogo kapanic mwenyewe lkn ana nyimbo nzuri alizitoa kipindi anatoka WCB HONGERA na NAVUMILIA lkn naona hakuzi promoti wala kuzifanyia video.
 
Rich mavoko kazidisha uvivu ila muziki anajua kuna menejiment nyingi tu wanamuhitaji ila ndo hivyo
 
Mavoko kayachezea maisha na maisha yamemchezea hata dada yake dokii ambaye ni moja ya mshauri wake naye amemuacha.Mavoko kachukuliwa WCB akiwa ameshashuka kimziki baada tu yakuingia WCB wakam'garisha video zake zikawa zinafika more than 4 million lakini pia alikuwa anatengeneza hit song.Ukiachana na hapo akawa anapata show nyingi ila sasa hiv show pekee anayopata ni ya fiesta.Na kumbuka wakati anafanyiwa interview na lilyommy akasema tokea aingia WCB maisha yake yamebadilika Sana kiuchumi na amekuwa na maisha Cha ajabu huyo huyo baadae kauli ikabadilika sijui alikuwa anatafuta namna ya kuondoka.Yote kwa yote maisha Yana mafunzo yake.
Toa uongo wako hapa Mavoko alikua alikua bora kabla hajaingia WCB kapote baada ya Kuingia uko

Rejea Ngoma za Mavoko kabla hasainiwa na WCB na Ngoma za Mavoko Baada ya Kusain WCB, Mavoko wa Kabla ya WCB alikua kwenye Top 5 Wasanii bora wa Bongo Fleva alivyosaini kwenye kalebo ka wapigaji wakamfanya kua Underground

hata kimapato Mavoko wa Wcb hakua na kitu zaidi ya kupata sifa za kijinga na Uteam, hakuna maendeleo yoyote aliyopata akiwa Wcb, baada ya Mavoko kuwachana ukweli na kujitoa Wcb wakaona wamununulie Mbosso Gari na Nyum
ba wakati kwa Mavoko kwa miaka yote aliyokuepo WCB hawakuwai kumfanyia hivyo na mikataba yao ya kinyonyaji

Poor WCB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diva umeongea kwa hasira sana...vipi mbona kwa sasa hampigi tena nyimbo zake wala kumsapoti?
Toa uongo wako hapa Mavoko alikua alikua bora kabla hajaingia WCB kapote baada ya Kuingia uko

Rejea Ngoma za Mavoko kabla hasainiwa na WCB na Ngoma za Mavoko Baada ya Kusain WCB, Mavoko wa Kabla ya WCB alikua kwenye Top 5 Wasanii bora wa Bongo Fleva alivyosaini kwenye kalebo ka wapigaji wakamfanya kua Underground

hata kimapato Mavoko wa Wcb hakua na kitu zaidi ya kupata sifa za kijinga na Uteam, hakuna maendeleo yoyote aliyopata akiwa Wcb, baada ya Mavoko kuwachana ukweli na kujitoa Wcb wakaona wamununulie Mbosso Gari na Nyum
ba wakati kwa Mavoko kwa miaka yote aliyokuepo WCB hawakuwai kumfanyia hivyo na mikataba yao ya kinyonyaji

Poor WCB

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ndo umeongea ukweli ni kwamba wanabebwa na jina ila mikataba yao si rafiki wananyonywa sana..

hakuna mtu Anaeacha kazi inayompa mshahara mzuri na marupurupu Ukiona wafanyakazi Wanakimbia hiyo kampuni Jua Pamoto hapo kwenye maswala ya pesa
Ushauri wangu kwa madogo waliopo pale Wcb hata kama wananyonywa waendelee kupiga kazi kwa kujituma,kidogo wanachopata wafungue biashara zao binafsi tofauti na mziki lile jina la Wcb litaendelea kuwabeba huko kwenye biashara zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ndo umeongea ukweli ni kwamba wanabebwa na jina ila mikataba yao si rafiki wananyonywa sana..

hakuna mtu Anaeacha kazi inayompa mshahara mzuri na marupurupu Ukiona wafanyakazi Wanakimbia hiyo kampuni Jua Pamoto hapo kwenye maswala ya pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoma ya mwisho ya rich Mavoko before ajajiunga WCB inaitwaje?
 
Acha uvivu nimekwambia tafuta ngoma za Mavoko kabla ya Wcb na za baada ya kuingia Wcb chukua mda sikiliza weka unafiki na Uteam pembeni. Njoo hapa na Majibu yupi alikua alikua mkali

WCB ndo Wamempoteza Mavoko hilo lipo Wazi,. wala Msiwasingizie Clouds media,.
Ngoma ya mwisho ya rich Mavoko before ajajiunga WCB inaitwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kipaji unacho kijana..leo unakwama wapi. Kwenye maisha usifanye maamuzi ukiwa na hasira au furaha sana. Ona sasa wale jamaa zako waliokuambia jamaa hakufai anakuharibia ANAKUNYONYA. Ona sasa walisema anakunyonya umeona show ya fiesta unavyolipwa..ona wasivyokuwa hata busy na wewe tena. Leo huna hata hit songs upo upo tu mzee. Kijana siyo kila ushauri unachukua..

mavoko ni km mm.
1. Mwaka 2016 kuna rafiki yangu wa karibu alikuwa ananishauri nimuache demu wangu kwamba hajatulia..jamaa akadai kamuona maisha club akiwa na wana wengine mara kibao....Nikafata ushauri ..nikapiga demu chini demu alilia sana.. February, 2017 jamaa huyo huyo kamuoa demu aliyenishauri nimuache. Leo nina miaka 30 naokota mizoga tu sina mtoto wa maana. Siyo kila ushauri wa kufata. Na wamepata mtoto mmoja wanaishi Tegeta Nyuki. Leo naumia nilimuacha bank teller yule kiboya sana.

2. Nilimaliza chuo Mzumbe 2011 first degree, nikapata kazi ya muda jhpiego iliyopo pale karibu na victoria njia ya bagamoyo road. Mm nilikuwa research officer.. sasa jamaa wale walitupromise watatupa ajira within six months..sasa mpka mwaka ukaisha hakuna ajira ya kudumu. Ninaye anko wangu mmoja akaniambia ukimaliza mkataba wako wa mwaka 1 acha kazi chukua mafao yako ( gratuity) tukafanye biashara ya Ruby..aisee hakuna kipindi nilipata pressure km ile. Nikawa napigiwa mchoro wa kununua ruby na kuuza najiona km utajiri kesho tu..daah. Millioni 12 zangu zote mafao na saving zilivyoisha kwenye biashara ya ukichaa ya madini..Maisha haya basi tu. Wale jamaa zangu leo wameajiwa wote na waliongeza wengine.

siyo kila ushauri wa kuchukua.

Kuna mwana 1 anaishi Tabata anastudio juzi kaniambia Mavoko anastress sana wadau wake wote walimshika masikio wamemkimbia. Hata dada ake DOKII KAMKAUSHIA..WATANZANIA HAWAMINIKI. Mavoko alikuwa anaelekea kimataifa leo hata ndani hayupo mainstream.Sasa Hivi hata demu wale lulu diva hataki kumsikia mavoko.

WANASEMA BORA KIDOGO CHA UHAKIKA KULIKO KIKUBWA AMBACHO HUKIJUI.
Tumshirikishe Mungu kwenye kila ushauri tunaopewa na tuishirikishe sana akili zetu. Hisia ukifata utapotea.
Pole Mavoko. Kutake risk ni vyema but kwakutumia Akili.
Sikio la kufa.....
Mavoko anavuna mazao ya mbegu zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom