mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Mimi ndio maana namkubali Mondi...chuma cha reli ,hakitingishiki ,risk taker
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwa demu wako Bank Teller tu, Jamaa ako ni Jasusi tena Gaidi zaidi ya Bashite.
hv utajiri alionao mmakonde ameupatia wapi...?We ndo umeongea ukweli ni kwamba wanabebwa na jina ila mikataba yao si rafiki wananyonywa sana..
hakuna mtu Anaeacha kazi inayompa mshahara mzuri na marupurupu Ukiona wafanyakazi Wanakimbia hiyo kampuni Jua Pamoto hapo kwenye maswala ya pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
hv utajiri alionao mmakonde ameupatia wapi...?We ndo umeongea ukweli ni kwamba wanabebwa na jina ila mikataba yao si rafiki wananyonywa sana..
hakuna mtu Anaeacha kazi inayompa mshahara mzuri na marupurupu Ukiona wafanyakazi Wanakimbia hiyo kampuni Jua Pamoto hapo kwenye maswala ya pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
jibu swali nyimbo ya mwisho ya mavoko kabla ya kuingia WCB acha kukwepa swaliAcha uvivu nimekwambia tafuta ngoma za Mavoko kabla ya Wcb na za baada ya kuingia Wcb chukua mda sikiliza weka unafiki na Uteam pembeni. Njoo hapa na Majibu yupi alikua alikua mkali
WCB ndo Wamempoteza Mavoko hilo lipo Wazi,. wala Msiwasingizie Clouds media,.
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa uongo wako hapa Mavoko alikua alikua bora kabla hajaingia WCB kapote baada ya Kuingia uko
Rejea Ngoma za Mavoko kabla hasainiwa na WCB na Ngoma za Mavoko Baada ya Kusain WCB, Mavoko wa Kabla ya WCB alikua kwenye Top 5 Wasanii bora wa Bongo Fleva alivyosaini kwenye kalebo ka wapigaji wakamfanya kua Underground
hata kimapato Mavoko wa Wcb hakua na kitu zaidi ya kupata sifa za kijinga na Uteam, hakuna maendeleo yoyote aliyopata akiwa Wcb, baada ya Mavoko kuwachana ukweli na kujitoa Wcb wakaona wamununulie Mbosso Gari na Nyum
ba wakati kwa Mavoko kwa miaka yote aliyokuepo WCB hawakuwai kumfanyia hivyo na mikataba yao ya kinyonyaji
Poor WCB
Sent using Jamii Forums mobile app
WCB ndo waliompoteza baada ya kua tishio sana kwa kijana Nasib mtumia ndumba..Mavoko alipotea tangu Alipo sainiwa KAKA EMPIRE nchini kenya chini ya kaka sungura a.k.a king kaka ,ila WCB ili mrudisha kwenye top, uvivu wake tu na ushauri wa kijinga ndiyo ume mkwamisha,INGAWA BADO YUPO VIZURI AKAZE BUTI
Sent using iphone
hv utajiri alionao mmakonde ameupatia wapi...?
Au kipindi bado yupo kwenye uchinga..?
mmmh ko unataka niambia harmonize ni masikin...?Utajili gani wakati wote umebakI wcb, alilipa vyote alivyopata ili kulipa mkataba wa kinyonyaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba hii comments mpaka kufika 31/12/2020 itatuambia nan mwana mme
Mzee baba mbona unadharau kwa mtu ambaye humjui alafu mbona liko wazi WCB wameshawasaini wasanii wawili teyali na diamond mwenyewe ndo amesema.Me kusema Mavoko amechelewa sijasema tu kimakosa angalia wote waliotoka Wasafi Kama Kuna mtu yoyote amewahi kurudishwa mfano mzuri qboy msafi.
ila kweli swala la kucopy huyu jamaa nae kazidi kacopy soundy kwa Teni kaja kucopy Inama kwa Fally Ipupa then ile kanyaga cjui kacopy kwa nan yan kazidi cjui watu wanampendea nn mweeeeeeeeeewhMavoko kabla hajajiunga Wcb alitoa mipini mikali sana iliyomweka kwenye ramani ya Muziki na Kumfanya kuingia kwenye top 5 ya wasanii wakali bongo. hii ni baadhi
Follow me
Roho Yangu
Pacha Wangu
Merry Me
Bolingo na ngai
Ongea Nae
Akiwa WCB baadhi ya Vipini alivyotoa na ngoma za Kawaida sana Na hazijampeleka popote wala kumpa mafanikio yoyote Zaidi ya kumnyonya na kumpoteza kwenye game na kua kama underground
Imebaki Story
Kokoro
Rudi
Sheri
Mwambieni Nasib aache kuwapiga Ndumba na kutaka kuwapoteza kwenye game Vijana wanaotoka Wcb, tunajua roho ilimuuma sana maana hao ndo walikua Waandishi wa nyimbo zake baada ya yeye kuishiwa ndo maana siku izi anacopy kaishiwa mashairi na Idea
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa huyo jamaa anabisha.Few weeks ago nilikuwa na project fulani na Bi. Khadija Kopa ambayo ilituweka pamoja siku kadhaa kwa muda mwingi daily, ni mwanamama mcheshi na muongeaji sana sana (talkative).
Moja ya story tulizopiga ni kuhusu binti yake Zuu, ambaye alikataa ajira ya kulipwa mshahara 1million na kupokea ofa ya Diamond kumsajili WCB. Huyo binti kwa sasa anafanya jingles nyingi za Wasafi FM.
Zuu ni mmoja kati ya hao wasanii wawili wanaosubiri kutambulishwa. Mwingine ni Hanstone. Mtoto wa kambo wa Banza Stone aliyeimba IOKOTE na Maua Sama.
Asisahau pia ukimuona kakopi, Africa beauty kakopy, Nana kakopy, Nasema nae kakopi, number one kakopi, nataka kulewa kakopi, Mawazo kakopi,Mdogodogo kakopi, Je utanipenda kakopi sijui ngoma ipi hajakopiila kweli swala la kucopy huyu jamaa nae kazidi kacopy soundy kwa Teni kaja kucopy Inama kwa Fally Ipupa then ile kanyaga cjui kacopy kwa nan yan kazidi cjui watu wanampendea nn mweeeeeeeeeewh
Sio mfuatiliajiNashangaa huyo jamaa anabisha.
Justin bibber anaandikiwaMavoko kabla hajajiunga Wcb alitoa mipini mikali sana iliyomweka kwenye ramani ya Muziki na Kumfanya kuingia kwenye top 5 ya wasanii wakali bongo. hii ni baadhi
Follow me
Roho Yangu
Pacha Wangu
Merry Me
Bolingo na ngai
Ongea Nae
Akiwa WCB baadhi ya Vipini alivyotoa na ngoma za Kawaida sana Na hazijampeleka popote wala kumpa mafanikio yoyote Zaidi ya kumnyonya na kumpoteza kwenye game na kua kama underground
Imebaki Story
Kokoro
Rudi
Sheri
Mwambieni Nasib aache kuwapiga Ndumba na kutaka kuwapoteza kwenye game Vijana wanaotoka Wcb, tunajua roho ilimuuma sana maana hao ndo walikua Waandishi wa nyimbo zake baada ya yeye kuishiwa ndo maana siku izi anacopy kaishiwa mashairi na Idea
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu,maana aliupanga huo mkakati kabambe,baada mkakati kukamilika akahamia kwenye ujasusi sasa. Hapo kwenye ujasusi haijalishi unaemfanyia ni ndugu,rafiki,jamaa. Ndio kama hivyo jamaa “ujasusi wa kimkakati”"Jasusi la kimkakati" [emoji23][emoji23]