Kisa cha Tupac na jini (kwenye wimbo Hit em Up hakuwa tupac ila ni kiumbe wa kiroho ndio alikuwa anaongea kupitia mdomo na sauti ya Tupac)

Kisa cha Tupac na jini (kwenye wimbo Hit em Up hakuwa tupac ila ni kiumbe wa kiroho ndio alikuwa anaongea kupitia mdomo na sauti ya Tupac)

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Niliwahi kuongea kitu kinachotaka kufanana na hiki miaka ya nyuma na leo nimekutana na mwandishi ambae amelifanyia jambo hili utafiti wa kina.

Ni mwandishi / mtafiti ambae ni mtaalamu wa kujifundisha mwenyewe (A self taught expert) in the fields of 👇👇👇

1. The Sacred Art of Spiritual Languages (Sanaa ya lugha za viumbe wa kiroho)

2. The Art Of Sacred Voxiology : 👇👇👇👇
This is the art that deals with a very deeper understanding of the meaning and interpretations of inner -voices and what they represent in both in the realm of the spirits and in the nature.

Anasema baada ya ku ustudy wimbo wa Hit Em Up kwa takribani miaka 20, amegundua kwamba wakati Tupac anarekodi wimbo " Hit Em Up" alikuwa possessed na kiumbe wa kiroho.

Kiumbe huyo wa kiroho ndio aliekuwa anaongea kwenye wimbo huo kupitia sauti na midomo ya Tupac.

Na katika kuongea huko, kiumbe huyo wa kiroho alikuwa ana reveal details zote na majibu yote kuhusu maswali yote kuhusu vifo vya Tupac na Biggie.

Sasa anasema kwenye kitabu chake hicho, anafanya mambo makuu mawili kwa wanafunzi wake( his srudents)

1. He is proving to you beyond any reasonable doubt that at the time when Tupac Shakur was being recording the song Hit Em Up, he was being actively possessed by a spiritual being and that It was this spiritual being who was actually speaking through the mouth and voice of Tupac Shakur.

2. He is explaining in details, the true meaning of each and every word that comes from the mouth of Tupac Shakur in the song Hit Em Up.

Kitabu chake hicho amekiweka kwenye mtindo wa video documentary ambayo itaanza kurushwa kupitia channel yake ya You Tube kuanzia tarehe 09 SEPTEMBA 2024 (siku aliyo kufa Pac) hadi tarehe 09 Macho 2025 (siku ya kifo cha Biggie)

Maana yake ni kwamba tutatazama documentary hiyo bure kabisa.

Let's wait and see.

Nimeikuta kwenye group la Facebook LINALO kwenda kwa jina 👇👇👇

SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP.

Nimeshindwa ku upload video inachukua muda mrefu.

Ni ya kiingereza though so kama English haipandi huwezi elewa ingawa anaongea English simple kabisa
 
Aiseee! Kumbe ndio hivyo mi nausikilizaga tu kama nyimbo zingine.
Ngoja tutazame documentary yake tuone hoja zake.. as long as amesema ana weza kuthibitisha pasi na shaka yoyote.

Mimi namfuatilia, akianza kurusha hizo episodes nitakuwa nazileta hapa.

Sasa hivi ana publish teasers nitaanza pia kuwa ninazileta kuanzia kesho.
 
Hii dunia unaweza tengeneza pesa kivyovyote na hukosi wateja.
Dunia ya internet haihitaji watu serious. Kuwa serious ufe masikini.

Hata hivyo Mimi huwaga nawakubali sana watu kama hawa ambao wanakuja na madai magumu kama haya huku wakisema kwa kujiamini kwamba wanaweza ku ya prove
 
Dunia ya internet haihitaji watu serious. Kuwa serious ufe masikini.

Hata hivyo Mimi huwaga nawakubali sana watu kama hawa ambao wanakuja na madai magumu kama haya huku wakisema kwa kujiamini kwamba wanaweza ku ya prove
Hakuna kitu kama hicho na wale madogo nao walikua ni majini sema kizazi cha kina Pac watu walikua wanaimba sana aisee..
 
Tusubiri kutazama hiyo documentary na hicho kitabu. Jamaa anaweza jhaa a hoja yake. Mimi huwaga naheshimu sana mawazo mapya. Na ninawakubali sana watu kama huyu mwamba ambao huja na hoja kama hizi.

Anaweza kuwa na kitu kipya asipuuzwe.
Fasihi ni pana,,,
 
Back
Top Bottom