Huyu jamaa wa kitabu pia kamzungumzia Chino Xl. Kasema ataelezea kwenye documentary yake, who was Chino Xl in the realm of the spirits and what was he representing in the realm of the spirits.
Anajuaje? Anajua kwa kusoma sauti ya ndani ya mtu. Nilisha sema earlier kwamba yeye anajinasibu kama mtaalamu wa kusoma sauti zaa ndani. Ana sema " our voices are as unique as our finger prints " kama ambavyo ma palmists wanaweza kusoma maisha ya mtu kwa kutumia alama za Mikono yake na kumjua yeye ni nani katika ulimwengu wa roho basi vivyo hivyo yeye pia ana uwezo wa kumsoma mtu kwa kupitia sauti yake ya ndani na akamjua mtu huyo ni nani katika nini. Anasoma sauti yako ya ndani kwa kupitia sauti yako ya nje.
Ndio maana hata kuhusu ishu ya Tupac, anasema ameustudy wimbo Hit Em Up kwa miaka 20 na kwa kutumia expertise yake amegundua kwamba that was not Tupac but a spirit speaking through his mouth and voice.
I am so interested with his teaching. Atafika mbali sana.
The guy is genius na ana majibu karibu yote kuhusu Tupac and Biggie.
Mimi mwenyewe tu nafuatilia masomo yote lakini nimeikuta nafahamu vingi sana.