Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

Uzee ni baraka sana aisee, na ni kwa neema tu ya Mungu tumeweza kufikia uzee Wengi wamekufa wakiwa bado vijana wadogo kabisa, sisi tuliofika huku tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu. Sasa kumcheka mtu kwa sababu ana umri mkubwa ni upungufu wa akili, kwa sababu wengi wetu tunaomba na kutamani tuendelee kuwa hai, ikimaanisha tunatamani tuishi hadi tuwe vikongwe, so as long as mtu anaendelea kuishi uzee utamkuta tu.

Ukiwa interested na mtu mfuate tu PM, muulize umri wake, tumianeni na picha then ndiyo muanze kufikiria na mengine. Sio hadi vikongwe eti tutumie ID na avatars za wazee jamani, msitunyime raha tafadhali
Heaven Sent
 
Pia ni vibonge na wana vitambi halafu wote ni wavaa mawigi. Bila kusahau asilimia kubwa nina uhakika wamezalia nyumbani, hivyo wako desperate sana na ndoa.

Wanatamani hata waolewe mke wa tano na bambo. Kiukweli wanatia sana huruma hawa madada vibonge vitambi wa jf. Ila uwakute wanavyojinadi sasa.... unaweza sema unachati na Nina Roti au Mia Khalifa au Ayana Angel.
 
Nilijua ni pisi kali baada ya kuona avatar yake nikaingia pm mambo yakaenda poa tuka date tukutane 77 hotel pale Arusha.

Niliwahi kufika mapema hapo hotel ili nimuone mpenzi wangu atakapokuwa anaingia jinsi alinyo kimwondoko mapozi nk.

Sitasahau siku hiyo baada ya kujikuta nipo na shangazi yangu na sio pisi kali niliyemtarajia yaani kumbe nilikuwa nachat pm na dada yake baba yangu mzazi,dadeki nilifuta kila kitu nikafungua acc mpya hata shangazi alifuta acc yake na sijui anatumia jina gani ila najua tunaye hapa JF

Yaani tangu siku hiyo nikawa naiheshimu JF na namheshimu kila member
Hahahaaa
 
Pia ni vibonge na wana vitambi halafu wote ni wavaa mawigi. Bila kusahau asilimia kubwa nina uhakika wamezalia nyumbani, hivyo wako desperate sana na ndoa.

Wanatamani hata waolewe mke wa tano na bambo. Kiukweli wanatia sana huruma hawa madada vibonge vitambi wa jf. Ila uwakute wanavyojinadi sasa.... unaweza sema unachati na Nina Roti au Mia Khalifa au Ayana Angel.
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Pia ni vibonge na wana vitambi halafu wote ni wavaa mawigi. Bila kusahau asilimia kubwa nina uhakika wamezalia nyumbani, hivyo wako desperate sana na ndoa.

Wanatamani hata waolewe mke wa tano na bambo. Kiukweli wanatia sana huruma hawa madada vibonge vitambi wa jf. Ila uwakute wanavyojinadi sasa.... unaweza sema unachati na Nina Roti au Mia Khalifa au Ayana Angel.
😆😆😆😆 si mtuache lakini
 
Haha...kwa kweli humu mjengoni kutengeneza ukaribu na mtu na kuamua kufikia hatua ya kuonana ni kama kubeti tu.

Ukibeti halafu matokeo yakatoka tofauti na ulivyotarajia(mkeka kuchanika)wewe kubaliana na hali

Ila wewe Depal huwa ninajawa na shauku na hamu ya kukutana/kuonana na wewe mkuu[emoji1]
Eeh endeleeni kubet. ...

Ee hizo shauku zitakuja kukudisappoint 😀
 
Uzee ni baraka sana aisee, na ni kwa neema tu ya Mungu tumeweza kufikia uzee Wengi wamekufa wakiwa bado vijana wadogo kabisa, sisi tuliofika huku tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu. Sasa kumcheka mtu kwa sababu ana umri mkubwa ni upungufu wa akili, kwa sababu wengi wetu tunaomba na kutamani tuendelee kuwa hai, ikimaanisha tunatamani tuishi hadi tuwe vikongwe, so as long as mtu anaendelea kuishi uzee utamkuta tu.

Ukiwa interested na mtu mfuate tu PM, muulize umri wake, tumianeni na picha then ndiyo muanze kufikiria na mengine. Sio hadi vikongwe eti tutumie ID na avatars za wazee jamani, msitunyime raha tafadhali
Nimevutiwa naomba nije pm
 
Back
Top Bottom