Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

E
Eti na shangazi jamani!!!! Ivi mkuu kwanini jf hatutumii majina harisi ebu nifungue ajili
 
Sio 'risk taker'?

Kuna vitu ambavyo hua sioni haja ya kucheza pata potea. Kama ni wanawake hapa nilipo naishi jirani na chuo kimoja kikubwa so nina access ya mabinti wengi sana warembo. Hicho ndio kinachonipa kiburi.
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…