ndengisivilii
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 496
- 570
Nakubaliana nawewe kabisa....ufaransa kizazi Chao cha dhahabu ni kile 1984,1998,na 2018 ila Germany na Italy Germany wamecheza final nyingi za Euro na WC tokea Enzi za nyuma tofauti France ambae ameanza kuwa Giant duniani mwaka 1998.Unaikosea Heshima Ufaransa Kwa kusema kidogo France inaingia...
Ukiangalia tangu 98 Hadi 2022.. zimechezwa fainali 7 za kombe la dunia na Ufaransa kacheza Fainali nne na kuchukua kombe mara mbili unawezaje kuibeza timu ya hivi?....
Mi nadhani baada ya Italy ni Ufaransa hapo ni overall lakini currently Ufaransa ndo timu ya Taifa ya ulaya