Unaikosea Heshima Ufaransa Kwa kusema kidogo France inaingia...
Ukiangalia tangu 98 Hadi 2022.. zimechezwa fainali 7 za kombe la dunia na Ufaransa kacheza Fainali nne na kuchukua kombe mara mbili unawezaje kuibeza timu ya hivi?....
Mi nadhani baada ya Italy ni Ufaransa hapo ni overall lakini currently Ufaransa ndo timu ya Taifa ya ulaya