Kisa cha yaya wa msimu na tuhuma za mauaji………!

Kisa cha yaya wa msimu na tuhuma za mauaji………!

Juzi mwanangu NGADU kaniuliza, Baba unaandika Hadishi....... Mie nikamjibu, ndiyo, kisha akaniambia,
Bashi ukimaliza nishimulie.....................
Nasikitika sijamsimulia hadi leo..............
Nakupa kazi leo itabidi umtwangie simu kisha umsimulie.................................LOL

lol....Mjukuu kumhadithia Ba/Ma Mdogo wake inanoga sana, ntamtwangia.
 
Asante Mtambuzi nilikuwa off ila nimeona niingie hapa kucheki Ijumaa umetuwekea nini

Utanitafuta basi nikutoe out baada ya kazi ngumu.
 
Asante Mtambuzi nilikuwa off ila nimeona niingie hapa kucheki Ijumaa umetuwekea nini

Utanitafuta basi nikutoe out baada ya kazi ngumu.
Ijumaa ijayo sipooo, nasafiri mie, naenda PUGE NZEGA, labda ujikumbushe za nyuma.....................LOL
 
Ila hii Kesi mmh Babu Mtambuzi

Hii nimeiboronga eh! Samahani kama haina mvuto, labda ni kwa sababu nili-type usiku nikiwa na mawenge ya uchovu wa kazini..................
 
Thanks you made my day.

Mh jamani msichana wa watu!
 
Back
Top Bottom