Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #101
Q Chief alianza kupotezwa na Ruge kipindi hicho wameenda kufanya show kama sikosei Mwanza ilikuwa.Media moja imtafute doto wa Rashid
Anaenda kama Katwila nae aanze kulaumu wasanii wenzake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ray c zimebaki celi mbili za ubongo
Aiseetuongee yote ila jay dee mbaya jamani, huyu sidindishi hata kwa utani.
Gardner alimwambia sibishani na mtu niliyemkojoza kwa miaka zaidi ya 20 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jide hakujibu mashambulizi tena 😂😂😂😂😂😂Huyo jide anajionaga yeye ndio final say yaani ndio kila kitu
Alipopigwa dongo moja tu na mzee Gardner akabaki analia lia
Na kuna uwezekano wakarudiana.Kibaya kwako kwa wenzio dhahabu
Kakaa na mumewe miaka 15 kabla.ya hawajaachana
Alishasema hawajibu watu wenye depressionJide mama why unajibizana na teja!!
aiseeJide ana kisirani sana, anajiona star mkubwa sana na kiburi ila pia stress zinamsumbua.
Kuna siku nilikuwa airport kwenye yale madirisha ya kukata ticket na kuulizia ratiba za ndege,nikashangaa mtu ananigusa begi eti kaka naomba nipishe nina haraka,nikamwambia ungewahi kabla yangu subiri huko, basi akaanza kufoka pale, ana kisirani sana nadhani ndo maana hana hata marafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaydee bado yupo sana.Hao wote walishafutika kwenye mfumo hakuna anayewajua.wabaki na sifa zao ama walevi ama watu wliochezea ujana wao Sasa wanajuta uzeeni
Kumbeee!!!!Narejea hapohapo kwenye bifu la yeye na Chid Benz
Nakumbuka aliwahi kutunga dis track ambayo alishirikiana na wasanii wake wa Machozi band, ngoma ilikwenda kwa jina la KUMBE NILIZAMA KWA BRAZAMEN na hii ilikua ni dis track kwa Chid Benz baada ya kumtaka uroda.
Pia hata ile track NALIA NA MOYO aliyomshirikisha Mr Blue alitakiwa akae Chid Benz ila kwakua walizinguana akampa Shavu Mr Blue........
Kumbe kupotea kwa Chila hii pia ndio chanzo. Chila ana old school Kali sana.Q Chief alianza kupotezwa na Ruge kipindi hicho wameenda kufanya show kama sikosei Mwanza ilikuwa.
Wasanii wamefanya show ,Ruge akasema kuhusu pesa yao ya show wasubiri hatowalipa siku hiyo, Chila akaona sio kweli akamzaba kibao Ruge ,basi baada ya hapo Ruge akamfungia vioo mazima Chila na huo ukawa mwanzo wa Chila kupotea kwenye gemu.
Ray C alizidi kunoga baada ya kupunguza lile limwili akarudi kwenye umodo .Nilifurahi sana Ray C alivyobadilika na kuamua kubadilisha lifestyle yake...sasa ni yeye na Mungu wake na maisha yake
Haya maisha kuna mahala inafika Mtu anahitaji Tumaini la kweli katika Kristo.
Maisha ya namna hii hayana majuto kama ukiyaishi bila unafiki.
Kwani Jaydee ni mzee?Jaydee bado yupo sana.
Kuna ngoma huenda akaachia kabla ya mwaka kuisha au mwanzoni mwa mwaka ujao.
Kwa uimbaji Jide kamuacha mbali sana Ray C.Hakuwahi kumzidi kwa kuimbe Ray c .
Jay dee huyo ana depression mpaka anatukana watu 🤣🤣..Eti komando!?
Hakuwahi kumzidi hata kidogo ,jay dee ni vile alikuwa anajimix sana na wanaume kwanza hata sauti hana na huko kucheza ndio kabisa.Kwa uimbaji Jide kamuacha mbali sana Ray C.
Jide is a little bit relevant compared to Ray C but Ray C got some swagz although she is not relevant... I like Ray C but Jide is the greatest female artist in Tanzania.....You're entitled to your own opinion bro but pls be frank, she's not relevant a long time ago.
Mpaka sasa bado ni mzuri sana na hivi amebarikiwa macho ya kichokozi ndio kabisa anazidi kunoga 🤣🤣🤣🤣🤣Ninachokumbuka RC alikuwaga mzuri namaanisha mrembo zamani.
Una miaka mingapi?Hakuwahi kumzidi hata kidogo ,jay dee ni vile alikuwa anajimix sana na wanaume kwanza hata sauti hana na huko kucheza ndio kabisa.
Well said mkuu.Ray c hampati Jide. Alichomshinda jide ni kiuno na uzuri tu.
Ndio nakuambia sasa ...lady jaydee enzi izo alikuwa anashabikiwa na washamba kwa vile hata swaga hana mpaka leo mshamba , Ray c alishamuweka chini kweny kila kitu ,Ray c alifananishwa na Besta .Una miaka mingapi?