Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #201
NaaamAlimzaba kabisa? Dah Chillah 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NaaamAlimzaba kabisa? Dah Chillah 😂
Duhhh wote hawa walituburudisha mno kipindi kileee.
Na hisi mmoja wao atatoa nyimbo mpya soon. hii ni njia mmoja wapo tu ya watu kuwaongelea.
Binti machozi kuimba anajua nikikumbuka ile video yake ya kwanza machozi inatoka ilikuwa 🔥 ray c nae kabalance kuimba kidogo fashooooon kidogo 🔥Komandoo binti machozi Vs Kiuno bila mfupa.... 😎
-Kaveli-
Mi nipo Kaveli.Afrodenzi... long time ma'am. How you doing mkuu?
-Kaveli-
I'll ndi ndi ndi, ni 🔥🔥🔥. Una ijua??Ray c yupo relevant zaidi kwa lifestyle na kizazi cha sasa. Lady jay dee alikuwa anaiimbia old audience toka kitambo ndio maana licha ya pesa, bado anastruggle kutoa hitz
Ni hii mambo matano at least imepata mileage
Watu wengi hawajui umri wa mtu kuitwa mzee,Jide wanasema mzee,Ridhiwani anaitwa kijana,ilhali Ridhiwani ni mkubwa kwa Jide.Kwani Jaydee ni mzee?
Wimbo wa Jide ule Yahaya ndio mzuri.
Naijua mkuu 😁I'll ndi ndi ndi, ni 🔥🔥🔥. Una ijua??
Mbona una sema ana pata tabu, kutengeneza hit😂🤣.Naijua mkuu 😁
Mbona una sema ana pata tabu, kutengeneza hit😂🤣.
👉Yahaya je🤣😀
Vipi young killer kawa kosea nini 😀, maana dahKwa sasa ila zamani alikuwa hits after hits.
Japo kajitahidi sana kubaki maana toka enzi za radio cassettes hadi Spotify sio mchezo mkuu
Sijawahi kuwa fan wa young killer japo kwenye bars anajitahidi. Kilichomkuta sijui maana umri wake bado unaruhusuVipi young killer kawa kosea nini 😀, maana dah
Mambo matano unaionaje?Kwa sasa ila zamani alikuwa hits after hits.
Japo kajitahidi sana kubaki maana toka enzi za radio cassettes hadi Spotify sio mchezo mkuu
Mambo matano ni hit mkuu..Mambo matano unaionaje?
Mi nipo Kaveli.
Heri ya mwaka mpya 🙂