feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Jide ni hatari bwana mfano mwaka huu katoa Ngoma inaitwa "Mambo Matano-" Ngoma Kali sana japo mule kamchana sana GadnaKwenye uimbaji hapo kila mmoja ana ladha yake na wote wanajua na nyimbo zao zinaishi .
Ila Jide mpaka sasa anaweza kutoa hit song kwa upande wa Ray C jahazi limeshazama, si rahisi tena kutoa hit song.