Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Una uhakika na hili mkuu?? Ili niitunze kwa matumizi ya baadae kwa wanangu ikitokea wakafanyiww km rafiki wa mtoa mada
 

Daah[emoji1430]ningekuaa jiwe ningekupaa cheo unaonekana, upo vizuri kwenye reasoning na saikoloj
 
Pole na hongera kwa kuokoka, hilo la kwa waganga nitawaachia hao ndugu zake. Ingawa nilimwomba namba za mzee wake kidizaini kama anasita kutoa ila najua nitakavyo ipata
 
Kuna wanawake wanapenda sana madaraka ya wanaume yawe yao hapa ndipo hupelekea wao kupata tamaa ya kutafuta njia mkato itayofanya afanikiwe katika kutwaa hayo madaraka hapa ndipo tatizo lilipo kwanza atauliza kwa marafiki zake huko atapata tu mmoja ambae atampa akili ya kumpeleka sehemu ambayo huyo rafiki yake nae ndipo anapofanyia mambo yake anakua na uhakika na analofanya hapo ndipo linapotokea swala la kuchotwa akili kwa mwanaume kama hayupo vizuri katika kinga za mwili wake kuhusiana na mambo ya ulozi,niliwahi ona visa kadhaa vya hivyo kimoja mtu baki na binti ambae alikua mfanyakazi kati ya miradi ya familia alikua ana kibatari chake anachomlipulia bwana wake ambae ana mke na mke nae hakua haba ikawa wanashindania kwenye mwili wa jamaa ilifika kipindi jamaa watu wa nje mnamuona kabisa hayuko sawa sawa,kisa kingine katika famili mzee na mama wa kufikia aisee haya mambo yaone tu kwingine yanaaikitisha na kutia hasira sana sana kama una roho nyepesi unaweza mkata mtu makofi hata kama si mkeo sababu tu ya alichofanya lilipofika swala mzee nilipapambana mwenyewe maana wadogo zake kila nikiwaambia muhangaikieni kaka yenu kuna moja mbili tatu nao walikua kama wametulizwa nilipambana mwenyewe kwasasa imekatika miaka mzee aliondoka na kuanza upya sijawahi mwambia yeyote kama nilipambania mwenyewe hadi kuchomoka kwa mzee na sasa ana maisha yake huru...mpambanie rafiki yako iwe kwenye maombi iwe kwenye nini hakika wewe ndie njia yake ya kuokolewa kwenye hilo janga usipuuzie kabisa kabisa mateso makubwa sana hayo.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Watu wanamuonaga mama Dangote falaa lakini wanawake wachawi sanaa...!! Limbwataa halifaiii...Ndugu zake wawashee motooo aiseee...
 
Acha kabisaaaah kwetu kuna kila aina ya mambwata, mwanaume anamuonesha mkewe kila kitu, had mshahara wote anapanga bajeti mke.
Dunia chungu hii, hizi ndoa ni hatareeeeh lol
Kwenu wapi?maana ndugu na jamaa wasije wakaingia kichwa kichwa kuchepuka wakasahaulishwa hadi familia zao kwa limbwata la mchepuko
 
Nioneshe huyo mwanamke ,bunduki yangu aijafanya kazi muda,funzo wana tuwe makini natunao waoa.......
 
Hakuna uchawi wa hivyo jamaa lako lina uzezeta wa kuzaliwa
 
Pole na hongera kwa kuokoka, hilo la kwa waganga nitawaachia hao ndugu zake. Ingawa nilimwomba namba za mzee wake kidizaini kama anasita kutoa ila najua nitakavyo ipata
Poa mkuu jaribu kumsadia huyo jamaa , walimwengu ni wabaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…