The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Well narrated broNi kweli wahaya ndoa zao hazivunjiki ovyo kwa sababu tabia za michepuko ipo pande zoote kwa mume na mke woote wanacheza ligi za ndani na nje kwa kasi ya 4G. Wewe mwanaume kama huna roho ngumu usije ukaoa mwanamke wa kihaya ambae hana hofu na MUNGU aisee wahaya shikamoo japo sio woote wenye ile tabia sijui waliumbwaje watani zangu wahaya
Mkuu ndunde ndio NN ?Kalishwa ndunde
Kwenu wapi mkuu ? Sorry lakiniAcha kabisaaaah kwetu kuna kila aina ya mambwata, mwanaume anamuonesha mkewe kila kitu, had mshahara wote anapanga bajeti mke.
Dunia chungu hii, hizi ndoa ni hatareeeeh lol
Yaani ni hivi unaweza hata huo mchakato wa kuoa wenyewe unaweza kukuta amerogwa ili amuoe huyo mwanamkeKuoa mtu wa kwenu ni heshima kubwa kwa jamii yako.
Wahaya ndoa zao hazivunjiki mara nyingi sababu wanajitahidi kufata huu utamaduni hata wakiwa mbali na mkoa wao wa kagera...bado wanasaka wahaya wenzao kwenye swala la ndoa
Kweli Mkuu Ila jaribu kumsaidiaMakabila ya pwani tunaongoza kwenda kwa waganga hususa ni Tanga.
Nina rafiki yangu tumeshibana sana lakini akifika kwa mkewe ni kama kondoo. Yani mnaweza kupanga kitu lakini mwanamke akikataa amekataa jamaa hana sauti kabisa. Ni mkali mkiwa nje ila akishaingia ndani ni tofauti kabisa.
Jambo la kutia huruma zaidi hawa watu waliofungwa ukujifanya unawanasua kama ni rafiki yako atageuka kuwa adui yako. Ni mtihani sana
Huyo yupo kimaslahi zaidiNimesoma mpaka nimeogopa hivi unamfanyiaje hivi mwanaume unayempenda jamani
Sidhani kama ana mapenzi na mumewe
Sio mzuri kwa Nani ? Kwa mwanamke au mwanaume ?Yes yapo,mm pia zamani kdg nyumba tulipanga na Mr kulikua na mbaba mjeshi kapanga na mwanamke mtu wa singidaa mama yule alikua anachukua mshahara wote wa yule baba anampa nauli tuuu
Pale nyumban ndugu wa mke tu ndio waliokua wanakujaa,,mjeshi alikua km zezeta,,na waziwazi yule mama alikua anatufundisha na sie twende mahala atupeleke tuwatengeneze waume zetuuu,haya mambo yapo ila mwisho wake sio mzuriii
Uko sahihi sana braza , mi nilisaidiwa na demu ambaye niliiona namba yake kwenye simu yangu , baadae nikamcheck nikatoka naye , yy akaniambia ww hauko Sawa umerogwa ,akanipeleka kwa mtalaamu , namshukuru sana Yule demu , ilikuwa ni Kama njia ya kuniokoaNi aina Fulani ya mwanamke mpumbavu kupindukia.
Mwanamke ambae amejaliwa utashi mwema hawezi kumfanyia hivyo mumewe hata siku moja, Lau akifanya Jambo Kama Hilo kwa mwanamke mwenye na akili huwa anapeleka maendeleo, hapo huyo ndugu wangekua na nyumba kadhaa.
Lakini mwanamke was namna hio huwa mwishowe hutafuta njama za kumuua mumewe na kuolewa na mwanamme mwingine.
Mleta mada kwa vile huyo ndugu amepata bahati ya kukushirikisha hayo anayopitia huwenda wewe ndie msaada pekee kwake.
Kule kuletwa kwenye hio ofisi Ni mipangilio tu ya muumba kumokoa huyo ndugu, Mungu huwa anatumia watu kuwasaidia watu wanaopitia maagumu,
Hivyo wewe Ni Kama mjumbe wa Mungu alietumwa kumuokoa just do any thing sir.
Ni kweli mkuuhizi tabia zipo kwenye kila kabira, kwa wahaya tunaita Shuntama (kama sijakosea) ukifanyiwa utakuwa bwege kwel kwel.
Mwanamke mpumbavu na mjinga ndio anaujasir wa kumfanyia hvyo mtoto wa mwenzie
We Acha porojo zako , yaani watu wote wawe wajinga hapa Wanaoamini uchawi !! Ww ndio Naomi au mjanja ?Adui wa kwanza wa MWANAUME ni mwanamke, na hii watu wengi watasema ni ushirikina,sio kweli, kwa Wengi wenye wake wanalijua hili, girl friend au mke anataka kwanza kukuchunguza na kukujua kwa kila unachofanya na unakokwenda, baada ya hapo anaanza kukupangia anachotaka yeye, na ukikataa utaitwa mkorofi, ana mahawara,mnyanyasaji, anaharibu pesa,mbishi, na kuitiwa vikao, yote hayo ni kukuogopesha ili jamii na wewe mwenyewe ujione mkosaji na aibu, Ukishakubali hapo MWANAUME utakua mtumwa.
Suluhisho ni kuhakikisha anapanga mambo yake mwenye na kufukuzia goals zake za maisha, Pesa Yake aweke mwenyewe na apangie mwenyewe. akiona anaendelea na ubishi. amwache kwani Maisha yake ni bora kuliko huyo mwanamke.
Sasa udanganye ili iweje ? Unapata faida gani ?Ndugu yangu huwezi kuzuia mtu kufikiri, yeye kila kitu anawaza kudanganywa inaonekana yeye ni muongo muongo
Ni wapi huko? Na hakuna madhara yoyote atapata, ila nimepanga kumpeleka kwenye maombi ingawa ukimwingizia habari za kuombewa hapendi anasema anaimani sasa na kanisani kwake.
Kabisa bro mm naamini kwa kuwa yalishanikuta uyo jamaa kashalishwa limbwata pia na mauchafu kibao kalishwa inabidi apelekwe akatibiwe hali yake mbaya sanaMkuu huko kanisani nowdays wamejaa makanjanja watupu! hatosaidiwa na nakuhakikishia kwa mambo ya kusaidiwa hawezi kukubali kwani si yeye anaye kataa bali ni nafsi ovu! haya mambo ya kutoamini njia za asili yalitaka kunipotezea bro wangu kabisaa baada ya yeye nafuata mimi, visa vilikuwa kama hivi nakuambia niliingilia kati na kuenda kubeba kwa nguvu hadi kwa mtaalamu Niliyo yashudia kule aisee huwa nawaeleza wanaopinga uchawi haupo hawajakutana na kasumba ka hizi. All in bro yupo njema na ndoa iliishia pale baada ya kuwekwa sawa na mtaalam
Wanawake wengi tu wanatumia ushirikina kuanzia kwenye kutongozwa Sasa unadhani ukimuweka ndani ili upendo uendelee atafanyaje zaidi ya kurudi kwa mganga wake aendelee kukudhibiti, mwisho wa siku anakuwa tegemezi wa dawa hata kwa kitu kidogo tu na huko mganga nae anaongeza masharti kadha wa kadhaYaani ni hivi unaweza hata huo mchakato wa kuoa wenyewe unaweza kukuta amerogwa ili amuoe huyo mwanamke
Leta uzi sio unaongelea mambo makubwa kishortcutUko sahihi sana braza , mi nilisaidiwa na demu ambaye niliiona namba yake kwenye simu yangu , baadae nikamcheck nikatoka naye , yy akaniambia ww hauko Sawa umerogwa ,akanipeleka kwa mtalaamu , namshukuru sana Yule demu , ilikuwa ni Kama njia ya kuniokoa