Kuna bank umeshasikia wameibiwa kwa uchawi?Labda nikuulize kwanza,..je una amini kwamba mambo kama haya huweza kusababishwa na uchawi pia.
Nadhani hapa hatuongelei bank,.nimkuuliza je unadhani kwamba uchawi unaweza kusababisha mtu akawa katika hali kama hiyo.Kuna bank umeshasikia wameibiwa kwa uchawi?
Nitajitahidi kwa uwezo wangu wote, pia nitafanya namna ili nimjue tu huyo mke wake maana nilionywesha kwa pichaNi aina Fulani ya mwanamke mpumbavu kupindukia.
Mwanamke ambae amejaliwa utashi mwema hawezi kumfanyia hivyo mumewe hata siku moja, Lau akifanya Jambo Kama Hilo kwa mwanamke mwenye na akili huwa anapeleka maendeleo, hapo huyo ndugu wangekua na nyumba kadhaa.
Lakini mwanamke was namna hio huwa mwishowe hutafuta njama za kumuua mumewe na kuolewa na mwanamme mwingine.
Mleta mada kwa vile huyo ndugu amepata bahati ya kukushirikisha hayo anayopitia huwenda wewe ndie msaada pekee kwake.
Kule kuletwa kwenye hio ofisi Ni mipangilio tu ya muumba kumokoa huyo ndugu, Mungu huwa anatumia watu kuwasaidia watu wanaopitia maagumu,
Hivyo wewe Ni Kama mjumbe wa Mungu alietumwa kumuokoa just do any thing sir.
Hizo ni imani sio sayansi, siku kizi vijana wananyonya kabisa, hata kumiKwa majirani zangu fulani. Unawekewa nyama kwenye papuchi masaa Saba Kisha inatolewa inakaangwa halafu unapewa ule. Siku hiyo yeye hali anatoa vijisababu vya ovyo ili ule ule uchafu peke yako. Halafu usiku wakati mwanaume uko isingizini unakoroma anachukua chupi yake aliyoivaa siku nzima na kukuwekea kwenye pua. Usiku mzima utakua unavuta perfume ya papuchi.
Ukishapewa hiyo dozi Mara Saba Kaka huchomoki.
Wakamba mpo humu?
Nakutakia kila jema mkuu.Nitajitahidi kwa uwezo wangu wote, pia nitafanya namna ili nimjue tu huyo mke wake maana nilionywesha kwa picha
Hapana siamini ila najua kwa kutumia sayansi unaweza kumfanya mtu awe hivyoNadhani hapa hatuongelei bank,.nimkuuliza je unadhani kwamba uchawi unaweza kusababisha mtu akawa katika hali kama hiyo.
Uwezekano hapo mdogo sana.Ngoja niongee na ndugu zake kwanza maana mimi siwezi kwenda kwa mganga wa kienyeji ila nitajitahidi kabla sijaondoka hapa kwenda sehemu yangu ya kazi lazima niwe nimempeleka kwenye maombi, hilo ndo ninalo weza pekee
Msela ndiyo kaolewa, ndiyo maana unaona anapangiwa mashariti na yeye anaogopa!! Hivi kweli Wanaume hawa wapo kweli au story za kunogesha Baraza!?Ndo maana mimi sitaoa Forever ushenzi gani huu tunafanyiwa na Madem.
Huko mbali sana,amnyweshe K-Vant tu,majibu atayapata soon!!Mpeleke ngende akazinduliwe
ila watu huwa wanalishwa uchafuKwa majirani zangu fulani. Unawekewa nyama kwenye papuchi masaa Saba Kisha inatolewa inakaangwa halafu unapewa ule. Siku hiyo yeye hali anatoa vijisababu vya ovyo ili ule ule uchafu peke yako. Halafu usiku wakati mwanaume uko isingizini unakoroma anachukua chupi yake aliyoivaa siku nzima na kukuwekea kwenye pua. Usiku mzima utakua unavuta perfume ya papuchi.
Ukishapewa hiyo dozi Mara Saba Kaka huchomoki.
Wakamba mpo humu?
Wachaga wenyewe mbona siku hizi wametulizwa,wanakupikia hadi Ugali Dagaa Mzaramo anasubiri, Wanaume hawa watu tuishi nao kwa akili tuta enjoy sana!!Ushauri wangu Ni huu
1. Oa rafiki yako
2. Oa kutoka the same background
3. Oa mtu wa kwenu
4. Mkeo asikuzidi kipato
5. Epuka kuoa makabila usiyojua Mila na desturi zao. Wachaga wananielewa kwa hili
Samahani mkuu nisaidie katika hili limewahi kunitokea mimi mwenyewe iko hivi;... Siku moja nilitoka kazini nikafika ndani nikapika, nikala nikacheki taarifa ya habari then nikazima TV, nikaingia chumbani nikalala by saa nane hivi nikastuka baada ya kusikia TV imewashwa niliamka ile nakaribia sebuleni nikaona paka sikujua idadi yao kwa haraka lakn walikuwa kama 15 hivi nikajiuliza hawa paka wameingiaje ndani na madirisha yana nyavu,... basi nikaamua kuwatisha lkn hata hawastuki, ... basi nikarudi chumbani kufika tu chumbani walianza kulia kwa sauti kubwa sana kama dakika tano hivi,... baada ya hapo kukawa kimya na ile TV Ikawa imezimwa. nilipoenda kuangalia tena sikuwakuata je kisayansi hii inaweza kuwa imesababishwa na nini kumbuka hapo nilikuwa naishi peke yangu na baada ya pale sikulala tena hadi kunakucha,... isipokuwa asubuhi jamaa wa chumba cha jirani alizungumzia kuhusu zile kelele za paka kwa usiku ule pls naomba unisaidie hili lilisababishwa na nini.Hapana siamini ila najua kwa kutumia sayansi unaweza kumfanya mtu awe hivyo
Like seriously?!Huko mbali sana,amnyweshe K-Vant tu,majibu atayapata soon!!
with a pinch of lemon and honey...........Tastes like Tea.
It's probably Tea.....
Oh My! It is Tea!!
Yes yapo,mm pia zamani kdg nyumba tulipanga na Mr kulikua na mbaba mjeshi kapanga na mwanamke mtu wa singidaa mama yule alikua anachukua mshahara wote wa yule baba anampa nauli tuuuKama huamini unajidanganya
Haya mambo yapoo tena sana
Huyo kalishwa limbwata
Kuna mama mtaani kwetu mpika chapati maarufu siku asubuhi wakati tunasubiri atoe chapati mumewe alikuwa amekaa pembeni
Huyo baba siku zote huwa namuona amekaa kibalazani kwake anasalimia watu tu
Huyu mama akamfokea aingie ndani au akatafute shughuli ya kufanya
Akatuambia wanangu msije mkampa mwanaume limbwata utamuathiri akili pia ona huyu wangu nilimpa anipende awahi kurudi nyumbani matokeo amezubaa mpaka amekua mzigo,kazi hana wala hajiangaishi
Nikajifunza kumbe limbwata ni mzigo badae [emoji848]