Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Nakuunga mkono,sometimes being aggressive to them inaleta heshima ya mwanaume ndani ya nyumba,unapokuwa chini sana kwa mwanamke hupelekea kuiondoa thamani yako na kupelekea hata kudharauliwa,najua kuna watakaopinga lakini ukweli ndio huo,na ndio maana hata wako wanawake ambao wanapenda mwanaume ambaye yuko a bit rough kuliko wale wa kulialia....
 
Hizo ni ndoto tu, na husabibishwa na uchovu, kelele karibu na lewe, msongo wa mawazo au mwili kuugua homa au mafua nk, hapo usingizi ulipopotea ndio ndoto ilipoishia na ulitakiwa ukamwone dakitari, jirani huenda alisikia sauti ya paka waliokua wanatembea Nje ya Nyumba.
 
Uzi wako umenipa hasira sana mpaka nimeshindwa kuumaliza.

Kwanza mwanamke kujua una ingiza kiasi gani ni kosa la jinai tena la kiufundi.
 
Kama wapo wengi hivyo mpaka anapata vidonda vya tumbo, alafu kuna watu wanasema hii chai ya mchai chai, kweli kua uyaone
 
Kua uyaone
 
Maskini wee mtoto wa watu kashapewa limbwata tena lile la kijijini la kujipaka mwilini na limemkolea lyoko lyoko.
Anahitaji msaada wa kuzimuliwa, poleeeeeh yake sana.
 
Maskini wee mtoto wa watu kashapewa limbwata tena lile la kijijini la kujipaka mwilini na limemkolea lyoko lyoko.
Anahitaji msaada wa kuzimuliwa, poleeeeeh yake sana.
Siku ya Hukumu Mungu atapata tabu sana (kama ana hisia) maana tunayofanya huku duniani ni balaa!
 
Halafu watu wanabisha kua hakuna Limbwata
 
Dahh huyo jamaa asharogwa hapo. Kosea kuchagua comb, kosea kuchagua dini, kosea kuchagua kazi, kosea kuchagua nguo, we kosea kila kitu ila usikosee kuchagua mke. Ukiona hauwezi kuchagua bora uache tu kizuri p***y can be bought, we tafuta tu hela. Very sad kama hii ni true story
 
Kama wapo wengi hivyo mpaka anapata vidonda vya tumbo, alafu kuna watu wanasema hii chai ya mchai chai, kweli kua uyaone
Wajingaa tu,mm ni mkristo mzurii sanaa siaminigi sana vya uchawi lkn haya ya urogaji nimeyaonaaaa
 
Ila na nyie wanaumee muwe mnajituliza akili zenu pindi inapofika muda wa kuchaguaa mke wa kuoaaa shida mnamihemkoooo mwishoe mnabak na majuto ya milele

Mungu anipe uzimaa mm mpk vijana wangu waoee na Mungu awasaidie wapate mke wa kufanana na mimi mama yao,,,nisomeshe vijana wangu atokee mwanamke mmoja abebe mshahara wake wote ntamkataa matiti yakeee,pumbavuuu
 
Mwishoni umeongea kwa hisia sana, tumwombee ndugu yangu aweze kuvuka hili jaribu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol utaweza sasa?
 
Nishawaambia madogo na ndugu wa kiume niwaaminio, siku nikioa halafu wakaona nimeanza kuwa 'ndaza' fasta wawahi kwa mtaalamu 'anijanjalue' nikipona tu my waifu wangu naenda kumtosa mto Kagera wale mamba wafaidi!!!! Shubamittttt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…