Kisa kilichomfanya bujibuji kukata shauri hiki hapa

Hawa ni watoto wa uswazi ambao huwa hawapendi kupitwa na jambo ila kwa kutumiwa bado sana hawa ha ha ha ha ha!
 
Mchana Kweupeeeee King'amuzi bila chenga batoto ba uswiss bana mambo !
 
changamoto za malipo ya king'amuzi Kitaloo
 
Kama buku taty na nusu ya nusu na robo ya nyama inagomba siku kama ya leo, unafikiri digitali ndo itapatikana?
Mwendo wa kuangalia van dame mpaka unakariri milio ya dufuu dufuu..mangumi hayo...weeeee.
 
Duh..... Naona madogo wanakula deo bure bure ennh.... Teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…