Kisa kilichonishangaza kwenye Quran: Mtume Muhammad alibanwa mbavu na Malaika kisa kuishindwa kusoma Quran

Status
Not open for further replies.
Naomba unisaidie; wapi alipokosea mleta UZI, or sehemu gani kaongea UONGO? Mi naona kama kafanya utafiti wake binafsi, now tusaidie mahali alipo kosea mleta uzi
 
Nasikia alizikwa akiwa hana sikio moja
 
Dini na Utahira vinatenganishwa na mstari mwembamba sana
 
Hehehe
 
Hakuambiwa asome aya za Quran (resite) bali soma kwa maana tafuta maarifa. IQRA - Tafuta maarifa.

nilitaka kuweka sawa hiyo misunderstanding ya maana ya Soma
 
Alikuwa hajui kusoma
 
Mzee toa jibu acha vitisho kwa vijana, mudi iweje abanwe mbavu! Halafu inamaana huyo aliyembana mbavu hakuwa akijua kwamba mwamba hana elimu ya kujua kusoma?
Hiyo ilikuwa ni hekma ya kuonesha uzito wa ufunuo atakaopewa.
 
Kwenye biblia yamo maneno ya Mungu na pia kuna maneno ya binadamu kama vile zile barua za Paulo, Wimbo uliobora (Wa Suleimani), Kuna maneno ya unabii na manabii na pia kuna fabrications chungu nzima.
Na wewe unaamin binadam anaweza kupoteza maneno Mungu aliyokusudia yamfikie mwanadamu? Huyo atakuwa sio Mungu sasa labda Mungu wa makaratasi.
 
Naskia mtume ametajwa kabisa kwenye Biblia.
Sasa nyie mnabisha nini kwani.

Mwanzo (Gen) 10:18
na Mwarvadi, na Msemari, na Mhamathi.
Baadaye jamaa za Wakanaani walitawanyikana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…