Kisa kilichonishangaza kwenye Quran: Mtume Muhammad alibanwa mbavu na Malaika kisa kuishindwa kusoma Quran

Kisa kilichonishangaza kwenye Quran: Mtume Muhammad alibanwa mbavu na Malaika kisa kuishindwa kusoma Quran

Status
Not open for further replies.
Nyie watoto ambao mmelishwa propaganda na wazungu na hamkufunzwa adabu na wazazi wenu. KUWENI NA ADABU MNAPO MTAJA KIONGOZI WA UMMAH MTUME MUHAMMAD SWALALLAHU ALAIH WASALAM.

Huyo sio binadamu wa kawaida kama binadamu wengine.

Huyo ni mtukufu wa daraja sio naita tu eti mudy boy kizembe hivyo

Acheni ushenzi nyie vijana wa hovyo.! Kwanza hakuna faida yoyote mnapata zaidi ya kuonyesha chuki za wazi kwake alafu hakuna mnachopunguza katika utukufu wake.
Naomba unisaidie; wapi alipokosea mleta UZI, or sehemu gani kaongea UONGO? Mi naona kama kafanya utafiti wake binafsi, now tusaidie mahali alipo kosea mleta uzi
 
Dini na Utahira vinatenganishwa na mstari mwembamba sana
 
Yaani una shangaa mtume aliye kuwa binadamu kama ww kubanwa mbavu na malaika, ila wakati huo hushangai Mungu wako aliye pigwa mijeredi ,akavulishwa nguo ,akababwa kwenye msaraba na kuuliwa na binadamu aliye waumba mwenyewe?
Jamaani kila mtu aabudu kitu anacho kiona ni sawa hii mijadala ya kukashifiana kidini ni moja wapo ya upuuzi na ujinga.
Hehehe
 
Katika kisa cha kushangaza nimekutana nacho baada ya kuona Post instagram inayosema wazazi wamshtaki Mwalimu wa madrasa kwa kosa la kuwachapa watoto viboko jambo lililopelekea mwalimu huyo kukamatwa na polisi.

Katika kusoma kwangu comment nikakutana na maoni ya mtu mmoja yanasema kuwa Mtume Muhammad mwenyewe alibanwa mbavu kwa kushindwa kutamka maneno ya quran (kiarabu), sembuse hao watoto!

Hii comment ikanifanya niingie chimbo, kufatilia ni kwa nini mtume alipata kipigo kikali kwa kushindwa tu kusoma au kutamka maneno.

Katika sure ya Sahih al-Bukhari, imeelezwa kwamba alipojidhihirisha Malaika Jibril kwa mara ya kwanza kwa Mtume Muhammad katika Pango la Hira, alimuamuru "Soma" (au "Soma kwa sauti"). Mtume Muhammad, akiwa hana elimu ya kusoma, alijibu kuwa hawezi kusoma. Malaika Jibril kisha alimtia mikononi mwake kwa nguvu na kumbana na kurudia amri ya "Soma" mara tatu, kila mara akimshinikiza Mtume kwa nguvu zaidi. Mtume alielezea kuwa alijisikia kana kwamba anashinikizwa na kubanwa kwa nguvu kubwa hadi alihisi kama anakaribia kuzimia kwa kukosa pumzi.
Hakuambiwa asome aya za Quran (resite) bali soma kwa maana tafuta maarifa. IQRA - Tafuta maarifa.

nilitaka kuweka sawa hiyo misunderstanding ya maana ya Soma
 
Katika kisa cha kushangaza nimekutana nacho baada ya kuona Post instagram inayosema wazazi wamshtaki Mwalimu wa madrasa kwa kosa la kuwachapa watoto viboko jambo lililopelekea mwalimu huyo kukamatwa na polisi.

Katika kusoma kwangu comment nikakutana na maoni ya mtu mmoja yanasema kuwa Mtume Muhammad mwenyewe alibanwa mbavu kwa kushindwa kutamka maneno ya quran (kiarabu), sembuse hao watoto!

Hii comment ikanifanya niingie chimbo, kufatilia ni kwa nini mtume alipata kipigo kikali kwa kushindwa tu kusoma au kutamka maneno.

Katika sure ya Sahih al-Bukhari, imeelezwa kwamba alipojidhihirisha Malaika Jibril kwa mara ya kwanza kwa Mtume Muhammad katika Pango la Hira, alimuamuru "Soma" (au "Soma kwa sauti"). Mtume Muhammad, akiwa hana elimu ya kusoma, alijibu kuwa hawezi kusoma. Malaika Jibril kisha alimtia mikononi mwake kwa nguvu na kumbana na kurudia amri ya "Soma" mara tatu, kila mara akimshinikiza Mtume kwa nguvu zaidi. Mtume alielezea kuwa alijisikia kana kwamba anashinikizwa na kubanwa kwa nguvu kubwa hadi alihisi kama anakaribia kuzimia kwa kukosa pumzi.
Alikuwa hajui kusoma
 
Mzee toa jibu acha vitisho kwa vijana, mudi iweje abanwe mbavu! Halafu inamaana huyo aliyembana mbavu hakuwa akijua kwamba mwamba hana elimu ya kujua kusoma?
Hiyo ilikuwa ni hekma ya kuonesha uzito wa ufunuo atakaopewa.
 
Kwenye biblia yamo maneno ya Mungu na pia kuna maneno ya binadamu kama vile zile barua za Paulo, Wimbo uliobora (Wa Suleimani), Kuna maneno ya unabii na manabii na pia kuna fabrications chungu nzima.
Na wewe unaamin binadam anaweza kupoteza maneno Mungu aliyokusudia yamfikie mwanadamu? Huyo atakuwa sio Mungu sasa labda Mungu wa makaratasi.
 
Naskia mtume ametajwa kabisa kwenye Biblia.
Sasa nyie mnabisha nini kwani.

Mwanzo (Gen) 10:18
na Mwarvadi, na Msemari, na Mhamathi.
Baadaye jamaa za Wakanaani walitawanyikana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom