Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Namba uliisahau then ukaenda kurenew hii chai walai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tulivyofungua Shule shida zote zikawa zimeisha nikafanikiwa kupunguza madeni na pia ile hela iliyokuwa kwenye laini voda waliirudisha kwani nilienda kurenew laini, kuna bro yule wa shulen alikuwa na namba yangu, hivyo kurenew ikawa simple sana, nikawa don sasa shulen hadi wanafunzi wakashangaa.
 
Ilichukua muda gani tangu kulala na huyo mrembooo hadi kifo chake? 🤔
 
Siti ya mbele kabisa nasubir mwendlezo
....wakanipa elfu15 na card ambazo nilikuwa nimeshinda, nikaambiwa niendelee kucheza baada ya kuzifunua card nikakuta moja kati ya zile card nmejishindia generator, kimbembe kikaja kwenye kupewa ilo generator nikapewa option mbili niendenalo au niwauzie wanipe hela cash

Kutokana na changamoto za usafiri na influence toka kwa walionizungua pale ikabidi niseme nawauzia, wakasema bei ya lile generator ni laki8 na lakini ili nipewe hiyo hela inatakiwa nichangie % flan kama laki 1 hivi, nikawambia mm sina laki, jamaa wa pembeni yangu akanambia we toa ulichonacho uwaombe wakusaidie kwa hiyo hiyo hela uliyonayo

Bwana nikatoa elfu 50 cash nikawapa wakasema kwa kuwa hela yako ni punguvu tutakusaidia kitu kimoja, akachukua ile card yangu ya zawadi akamix na zingine mbili akanambia nichague ipi ni ya zawadi na nikipata watanipa laki8, mtoto wa kiume nilikuwa makini sana wakati anachanganya zile card baada ya kuchanganya nikachagua moja kati ya zile card tatu nikawa na uhakika ndio ya zawadi.... Rahaula! Alivyofunua nikakuta sio ya zawadi

Hela elfu 50 yangu niliyopata kwa tabu ikawa umeenda hivyo baadae nikaja kujua kumbe wote waliokuwa pale walikuwa team moja kwanzia yule mama hadi wale wapambe nuksi wote walishilikiana kuniingiza mkenge

Kimsingi Mimi ni mtoto wa Mara nilitaka niwawashie moto pale ila nikaona niache tu nichukulie lile tukio kama lesson

NB: Tuwe makini sana na hela zinazopatikana kirahisi
 
Nashangaa haya mambo kuwepo na Polisi wanajua
 
Nakumbuka nikiwa bado nasoma NYEGEZI SEMINARY miaka ile ilitokeaga msala flani hivi wa kutazama TAMTHILIA YA JUMONG ya kikorea , sasa siku moja wajuba tukaibuka kutazama eboooooooo ilikuwa after. Night player kanisani wajuba tukaibuka. Mida ya saa 5 hukoooo. Usikuuu. Dining hall maana ndo tv iliko , ikawashwa , tukacheki. ,,, Dah siku hiyo mlinzi alitushtukia akaenda kumuita.GAMBELA (rekta) Yaani mkuu wa shule (walo soma seminary wanajua nini maana AKE )

Inaendelea.........

Msala ulitokea hapa. Mara ghafla mlango. Ukafunguliwa hai paaaahhhj!!!!! Mlinzi na gambela hapooo mlangoni aseeee siku hiyo tulivunja viooo vya madirisha Ili kupita maana ilikuwa usiku,,,ikasaidia kutokukamatwa ....

Asubui yake baada ya Misa. Tukabaki kanisani ....halooooooooó matumbo jotoooooo TV Leader akaitwa akaambiwa ataje wote


hahhhhhh. Dah


Almanusura tulinusuria maana ilikuwa ni kufukuzwa ,,,sema walo tajwa wakapewa adhabu tuuu ,,, maisha. Yakaenda.....





I remember those days at. NYEGEZI SEMINARY mwanza...
 
Msala. Mwingine. Ni ........

NILIITWA , Na demu wangu. Mtoto wa police , ( jina Kapuni) nikale mzigo Baada ya babake kwenda kazini , Siku ya jmosi flani hivi mwaka 2012 , maana mtoto. Alimiss. Kupampiwa. Nyuchi.........,..


Koo nkakaa pale Toka asubui mida ya saa 3 mpaka. Saa 7 , ...............



Endelea.....



Ilibaki. Kidogo nikamatwe na baba mwenye mtoto ambae ni. Askari police. Maana. Aliingia ndani. Kimya kimya KUPITIA mlango wa nje...........
Sema. Mrembo alini save balaaaaaa aliniambia niingie chini ya uvungu wa kitanda mpaka mzee atakapo Toka maana Huwa akija , mchana anatoka tena jioni. Kwenda Kwa wazee wenzie KUPIGA bia 2 tatu hivi........aseeeeee siku hiyo. Niliona. Kif🙃r🥶 hichoooo.




Sema. Alini save sana mtoto ,

So nka kaa pale chini ya kitanda mpka saa 11 jioni. Ndo akanistua mzee katoka. Mie nkachomoka. Ndukiiiiiiiiii ......hivoooooo








Ilibaki kidogo tu nitolewe marinda aseeeeee
 
Umenikumbusha mbali mkuu
 
We ni fala sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji3][emoji3] jinga sana ww
 
Nilikuwa na rafiki yangu tulishibana sana, tulisoma pamoja, tulisaidiana na kupeana mawazo ya kimaendeleo na maisha.

Baada ya miaka kadhaa kupita, rafiki yangu alipata ugonjwa ambao hauna dawa bado zaidi ya mionzi na kunyoa nywele.

Wakati nikiendelea kumfariji, kulipia baadhi ya gharama, kukaa nae karibu na kumpelekea zawadi pamoja na matunda kila nikitoka ofisini nakwenda kuongea nae alikuwa anafarijika sana.

Alikuwa na stress sana, anahasira za karibu. Siku moja alinipigia simu akaniwashia moto wa maneno makali sana hata wakati nikiendelea na majukumu kazini nilidondoka baada ya kuteleza kwenye meza jinsi maneno makali aliyonipa yalikuwa yanajirudia rudia. Sikuwahi kupewa maneno yanayochoma na kuumiza kama yale katika maisha yangu sikumbuki.

Sikumwambia mtu yoyote wa karibu na hata ndugu zake kuhusu kilichotokea ila nikaamua sitakwenda tena ili kuepusha tafrani zaidi.

Miezi kadhaa imepita, bila mawasiliano tangu siku ile tuliyopishana kauli. Nimekuja kugundua baadae rafiki yangu ameshafariki dunia baada ya siku nyingi zimepita.

"Naumia tu, hata kosa halikuwa langu[emoji24][emoji24]"
Bado naendelea kumuombea dua, Mungu ailaze roho ya marehemu peponi "Amin"
 
Huu ulikua ni udomo zege na utoto,pia kujiona ww mtu safi.Umetukumba wengi.
 

Nilikuwepo siku hiyo,, hahahaaa! Huyo Hp alikuwa anaitwa Gwamaka,, jamaa kutoka Mbeya. Alikuwa anasoma HGE mimi PCB Aisee umenikumbusha mbali sana yani. Sisi ndiyo tuliosimamia cruel iliyobaki shuleni isiende kuungana na wahuni waliokwenda kutafta bomba huko mtaani ukizingatia ilikuwa usiku.

Vita ikageuka kati ya walioshiriki na wale ambao hawakushiriki, kwakuwa lilikuwa ni tukio la kushtukiza kweli mwanzoni ilibidi tuikimbie shule maana hao vijana waliokuwa wamevaa ninja walikuwa wanapiga balaa na wakaitwaa mess ikawa chini yao.
Ila tulivyokuja kung'amua ni wanafunzi wenzetu tukaretreat kwasababu sisi tulikuwa wengi zaidi yenu,,, tulitumia mawe sasa. Ninja wao wanatumia stick wakawa hawana namna ila nakumbuka yaliisha usiku huo baada ya walimu kusuruhisha ila kesho yake waliohusika wakachukuliwa hatua.

Hii ilipelekea performance yetu mtihani wa mwisho kuwa chini,,, hadi wengine ndoto ya kusoma MD ikayeyuka nikaishia kusoma BBA na baadae kuingia jeshini.

Pale Shinyanga Sec sitapasau tuliishi kama tupo jeshini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…