Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Wanawake hawaeleweki mkuu, pengine angekukataa kipindi hiko.
 

Safii na ukome [emoji23][emoji23]
 

Si umuoe jamani uwe na wake wawili tu
 
Watu wengine huwa mnajitakia wenyewe kukatwa kende na wake zenu
 
mmmh[emoji23][emoji23][emoji23]
 
pole mkuu mim niko njia moja na ww
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Swaaafi nimependa hii
 
Aseehh...maaskari mbwa kabisaaà
 
Siata sahau matokeo yametoka nimeongoza mkoa ,mama wa kambo kazushq eti nimeangalizia dah,nilikuwa stiki kwa ndugu woote yaani.
Mama wa kambo Wana shida gani?
 
Fanya toba ndugu especially kama ni muislam

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Daaah..pole Sana Kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…