Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Naona vidole vinamuwasha😂Angalia mkuu jinai huwa haifi hata siku moja,usiamini sana mitandao, ni ushauri tu lakini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona vidole vinamuwasha😂Angalia mkuu jinai huwa haifi hata siku moja,usiamini sana mitandao, ni ushauri tu lakini.
Umejua kunichekesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umewakaaa?[emoji849][emoji849][emoji849]
Ndo maana umedataaa[emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe ndio alikuwa anajaza wese....dah inaelekea jamaa alikuwa anadatisha na ubooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cda uhindiniSio Chako ni chako kweli?
Lomnyaki ni koumer....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Nilibebeshwa mavi mkononi kwa sababu ya upole
Mimi ni mpole ila nilivyokuwa mdogo nilikua mpole kupitiliza ndo maana nilibebeshwa mavi ambayo sikunya mimi.
Kipindi nipo darasa la kwanza nilipelekwa boarding sasa hiyo siku tuko zetu tunacheza mida ya jioni akaja matron akatuita boys wote tulikua kama 30 hivi ambao tunakaa bweni na tulivyokusanyika akatuambia nifuateni tukaona anaelekea chooni basi tukamfwata tulivofika chooni ile sehemu ambayo ipo special kwa ajili ya haja ndogo tukakuta mavi yapo makimba matatu yamejipanga matron akauliza nani kanya hapa ina maana vyoo hamvioni mpaka mtumie sehemu ya haja ndogo nitajieni aliyekunya hapa.
Wote tulikua kimya mara ghafla kuna dogo mmoja mmasai anaitwa Lomnyaki akayasogelea yale mavi akayaangalia afu akanitaja akasema matron huyu Mafian cartel haya mavi yake kabisa yeye ndo kanya hapa mavi yake nayajua dah nilishangaa sana kumsikia Lomnyaki akinisingizia kosa ambalo sikufanya sijui alikua ana malengo gani kunichoma kwa matron
Basi Matron hakutaka maelezo akawaruhusu wenzangu waondoke akabaki na Mimi na kunihoji kwa nini nimekunya sehem ambayo siyo sahihi basi na Mimi na upole wangu ambao ulikua uboya nikawa nalia tu kwa kuonewa matron akasema wewe lia ila haya mavi uyazoe ukatumbukize Kwenye tundu la choo nikirudi nisikute mavi hapa afu akaondoka
Dah sasa nikabaki pale nahuzunika moyoni namlaumu Lomnyaki kwa kunichoma,basi nikachukua toilet paper nikaanza kuokota kimba moja napeleka kudumbukiza Kwenye tundu la choo nikachukua tena lingine hadi nikamaliza kuzoa makimba yote matatu kisha nikanawa na kumwambia matron nishamaliza kuzoa makimba yale.akasema sawa nenda ila usirudie tena.
watu walinicheka sana na kunitania pale shule mpaka Leo natafakari kwanini Lomnyaki alinichoma wakati mimi sihusiki labda yeye ndo aliyekunya n kuamua kuniuzia kesi
Mataccor yako Lomnyaki
Mataccor sana yule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lomnyaki ni koumer....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
🥺🥺🥺🥺ðŸ˜ðŸ˜Hamna jinsi ungefanyaje sasaSitasahau hiki kisa kwa mshkaj wangu..baada ya kumaliza A level nikapata tempo ya kuandikisha sensa..sasa nilikua na mshkaj wangu mmoja ikawa nikija kutoka ma bush natoka nae tunakula gambe sana kisha tunaenda zetu disco kipimd hicho..tulikua na utaratibu wetu kuwa we party with no bitchez kwahyo ilikua ni kivyetu vyetu ..siku moja nimerud na mpunga wa maana tukaenda na mwana kama kawaida kula gambe..kdgo ikaja pisi kali sana..jamaa yangu akaielewa nikamwambia kama vp sema nayo..pisi ilikua inasoma chuo cha uhazil
Tbr bas baada ya jamaa kusema na mtoto kumbe mtoto alikua anajiandaa walikua wefunga chuo na kesho yake alikua anapanda treni kwenda dar..so wakakubaliana aende chuo kuchukua begi lake then waende guest then gambe na mambo mengine then kesho amuwahishe stesheni awah tren..jama akaniambia mtoto kaeleweka nikaona mshkaj nisimbanie..nikampa mpunga wanku spendi daah hapo ndo ilikua mistake..basi kwel jamaa akaenda nae chuo wakachukua mizgo then wakapanga guest na wakaja sehem nilipokuwepo tukaendeleza gambe kama kawa..mida mida jamaa akasema ngoja aende akale mzgo basi tukaagana..next day mshkaj akaniambia alikamua kama kawa na demu kesha sepa kwenda dar..basi ikapita hyo sasa siku moja tumekaa sehem mshkaj mmoja akatuona wkt yule mshkaj wangu ametoka basi yule jamaa akaniambia huyu ni jamaa yako nikamwabia yes akaniambia anakumbuka alimuona sehem flan na dem wa chuo ila dem
Mwenyewe kaungua na miwaya nikashtuka kinyama..nikapotezea ila ile kitu ilikua inasumbua sana kichwa siku moja nikamwambia mwana eebwana twende tukachek afya maana maisha mafup haya..aisee sitasahau ile siku baada ya mshkaj wangu kukutwa na ngoma na nikajiona nahusika kwa 80% na issue ile..kpndi hicho hakuna ARV wala nn..mshkaj alipata shock akaanza kuumwa kwa hofu ikawa ndo kuumwa mpk kifo..SITASAHAU AISEE
Nilimpa demu wangu wa utotoni li baruti fulani lenye muundo wa mshumaa nikamdanganya kuwa ukiwasha kale kautambi zinatokea rangi nzuri aisee si akaenda nalo moja kwa moja hadi kwao akaingia jikoni ambapo wapangaji wote hupikia humo na mama yake yupo humo anapika si akaliwasha bwanaaa weeeee LIKAJIBU PWAAAAA kmmke daa wengine walizimia na kulazwa include mama yake ila mmoja aliruka mripuko uliposikika akatua kwenye maji ya moto.Jamani navyoongea hivi kuna mtu ana jeraha lilosababishwa na ujinga wangu MUNGU NISAMEHE.Mi baruti tuliipata kwa dada yangu ambae alikuwa anafanya kazi kwa WaINDI sio jambo la kujisifia ila kilichonikuta baada ya hilo tukio mixer na mapolisi waliingia mama yangu haelewi kwa nini nimekuja kukamatwa aisee.
Sasa unajutia nini hapo? Mie nimewatafuna wawili.kumla mamdogo
hahahahaha we falaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣Sasa unajutia nini hapo? Mie nimewatafuna wawili.
Hiyo tabia ukiifanya huwa inakuja kujirudia kwenye kizazi chako.kumla mamdogo
So sadNinachojutiaa ni 2016 dem mmoja hv sister aliniombaa niendee kwakee nikamsaidiee kufungaa kitandaa chake alinunuaa ,nikaendaa bhanaa kilichonikutaaa baada ya kufungaa kitandaa nikaanza kupigishwa story za hapa napale wkt nataka kusepaa akaniambia unaondokaje ujanywa hata soda c ndio akaletaa coca na wine bhanaaa tukaanza kunywa hapo ilikuwaa mida ya saa nne asubuh cku ya jpili huku tunapiga story ,maraa akasemaa ngojaa aandaee breakfast bhanaa bhanaa breakfast ikajaa tukaendeleaa na winee nikamtaniaa ,
Wine aipandi bhanaa nifanyie mpng wa safari mbili kubwaa nikampaa ten afate dukani akakataa akasemaa nisijali ataninuliaaa bhanaa akafata safar akaja nazo ,yy nikamwachia wine [emoji485] mm nikaanza kunywa safari mdg mdg tu ,baada safari zikakoleaa na dem wine ishamlegeza macho full kujichekeshaa tu mwishowee nikatakaa kusepaa ndipo dem akaniambia JIONGEZE nikamwambia hapanaaa ww n km sister tu bhanaa ,
Weeee akakimbilia mlango akafungaa na funguo akachomoaaa bhanaa bhanaa akawaa sasaa ananitaka tuduuu wt uku akiongeaaa mambo mengi na jinc anavyonizimiaaa tokaa cku aliponionaaa mtaani kwangu tokaa ameamia akaona mm ndio mwanaume namfaaaa bhanaa ajaongeaa mengi mwishowee ALINIBAKAAA ,,,baada yakubakwaa na yulee dem ckutegemeaa kbs kilichokujaa tokeaa maishan maana nawaambiaaga watu nilibakwa na mwanamkeee hawaamini kbs
Udomo zege ndo ulikukosesha tundaNilimpenda mdada Fulani hivi advance, lakini kutokana na maisha yangu ya UTAWA[emoji1] nikaona nikomae na yangu nisijue ya Leo sio ya Jana.
Miaka ikaenda, tukamaliza shule bila kumuambia lolote, bila kujua tukaenda college Moja, ilikuwa ni Furaha siku nimeonana nae, hug za kutosha Hadi watu wa pembeni wakawa nashanga, ye alikuwa na mwenzie namie nlikuwa na jamaa angu. Maisha ya college pia sikumwambia lolote but tulikuwa karibu sana kama wapenzi. Room kwake naenda nakaa Hadi night kucheki Korean series etc,
Yule Binti alimaliza mbele yangu, Siku hiyo nipo kwa Mji wa Mkapa nikaona nimtolee uvivu nikamfungukia ukweli wote, Binti akawa anashangaa Kwann sikumuambia mapema had muda ule na alikuwa Hana mtu, akanipea polee lakini akawa tayari na mtu wake. Japo naye alikuwa anahisia namii baada ya ku confess, nikaona sio uungwana kuingilia mahusiano yake na jamaa wake wa sasa, nikaachana nae japo tunaishi kama wapenzi.
Nlichojifunza ukimuelewa mtu usikawie kusema, mwambie akatae mwenyewe na kujifanya unaogopa tongoza kuhofia utapoteza urafiki wenu nimejua ni ujinga.
SadSitasahau hiki kisa kwa mshkaj wangu..baada ya kumaliza A level nikapata tempo ya kuandikisha sensa..sasa nilikua na mshkaj wangu mmoja ikawa nikija kutoka ma bush natoka nae tunakula gambe sana kisha tunaenda zetu disco kipimd hicho..tulikua na utaratibu wetu kuwa we party with no bitchez kwahyo ilikua ni kivyetu vyetu ..siku moja nimerud na mpunga wa maana tukaenda na mwana kama kawaida kula gambe..kdgo ikaja pisi kali sana..jamaa yangu akaielewa nikamwambia kama vp sema nayo..pisi ilikua inasoma chuo cha uhazil
Tbr bas baada ya jamaa kusema na mtoto kumbe mtoto alikua anajiandaa walikua wefunga chuo na kesho yake alikua anapanda treni kwenda dar..so wakakubaliana aende chuo kuchukua begi lake then waende guest then gambe na mambo mengine then kesho amuwahishe stesheni awah tren..jama akaniambia mtoto kaeleweka nikaona mshkaj nisimbanie..nikampa mpunga wanku spendi daah hapo ndo ilikua mistake..basi kwel jamaa akaenda nae chuo wakachukua mizgo then wakapanga guest na wakaja sehem nilipokuwepo tukaendeleza gambe kama kawa..mida mida jamaa akasema ngoja aende akale mzgo basi tukaagana..next day mshkaj akaniambia alikamua kama kawa na demu kesha sepa kwenda dar..basi ikapita hyo sasa siku moja tumekaa sehem mshkaj mmoja akatuona wkt yule mshkaj wangu ametoka basi yule jamaa akaniambia huyu ni jamaa yako nikamwabia yes akaniambia anakumbuka alimuona sehem flan na dem wa chuo ila dem
Mwenyewe kaungua na miwaya nikashtuka kinyama..nikapotezea ila ile kitu ilikua inasumbua sana kichwa siku moja nikamwambia mwana eebwana twende tukachek afya maana maisha mafup haya..aisee sitasahau ile siku baada ya mshkaj wangu kukutwa na ngoma na nikajiona nahusika kwa 80% na issue ile..kpndi hicho hakuna ARV wala nn..mshkaj alipata shock akaanza kuumwa kwa hofu ikawa ndo kuumwa mpk kifo..SITASAHAU AISEE
ashafariki piq, alifariki after few years also, but sikuwahi kumchukia nilikua nampenda hadi alipofariki. Although ukaribu ulipungua pia sababu ya kuishi mbali mbali.
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Pole.Cha ajabu baada ya hayo kutokea,ukute tajiri hakukupa hata mshiko kidogo tu wakufutia machozi.Niko form one muhula wa kwanza na niko likizo , kuna tajiri na kijana mmoja walikuja kijiji kwetu kununua mpunga.
Nikawa nimejenga urafiki na yule kijana.
Wakawa wamekodi godown kwa hiyo mpunga ulikuwa unahifadhiwa humo. Yule tajiri yeye alikuwa anarudi mjini akimuacha yule kijana pale kijijini na alikuwa analala humo humo kwenye godown.
Baadae tajiri aliniomba(bila malipo yoyote) niwe nampa kampani yule kijana kwa kulala wote kwenye godown, nilikubali bila kujua nilikuwa nahatarisha maisha yangu.
Tajiri siku zingine alikuwa haji na anamuachia yule kijana fedha za kununulia huo mpunga kwa siku ambazo hatakuja. Kuna siku ambayo aliacha fedha na mpunga haukununuliwa kwa kiasi kikubwa kwa hiyo kijana akabaki na salio.
Kitendo cha kubaki na salio kumbe wahuni washajua. Hawa wahuni ni jamaa waliowahi kukaaa mjini wakawa wamerudi kijijini kutokana na changamoto ya maisha kwa wazazi wao.Walijulikana kutokana na baada ya tukio kutoonekana.
Imefika usiku baada ya story za hapa na pale tukalala. Baadae katikati ya usingizi nilishtushwa na kitu kikitua kwenye kichwa changu , nikawa nimepigwa panga kwenye paji la uso. Tukaambiwa tuwape hela la sivyo watatuua.
Walipoona nimeloa damu na siwaangalii usoni wakawa wako na kijana wakimpiga mapanga ya ubapa. Kijana akawa anagoma kwamba hana hela lakini baadae walipata kiasi kilichokuwa kimebaki alikokuwa ameficha kwenye magunia.
Baada ya kuondoka nilijikongoja mpaka nyumbani maana ilikuwa karibu, wazazi walinipeleka fasta hospitalini na kushonwa nyuzi.
Tajiri hakuamini kama tulivamiwa, hii ndio inanifanya nijute mpaka leo.
Baada ya mimi kutolewa hospitalini tajiri akatuita mimi na kijana wake akituambia tuseme ukweli kama tumejiumiza au la maana anaenda kwa mganga.
Tulimwambia aende tu kwa mganga.
Mpaka leo kovu lipo kwenye paji na nilirudi shule nikiwa na nyuzi. Nikikumbuka tukio hili najiona mjinga kukubali ombi la yule tajiri bila malipo huku nikihatarisha maisha yangu. Nawaza angeshusha kidogo angeweza kunikata shingo.