Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Well kuna kisa kingine tena yani issue moja hadi leo inanichoma sana pia na kutokujua pia ilinicost sana sana.

Basi mwaka flani nyuma kidogo nilipokua nimemaliza form 6, nikapata kazi moja ya muda somewhere hapa Dsm na nikasema nitaenda chuo mwaka mwingine wacha nifanye hii job kwanza sababu ilikua inalipa poa sana so sikutaka kuiacha tu na pesa zote hizo, basi that time nikawa naishi kwa brother angu mmoja around banana na ni sababu ilikua karibu na job nikasema nitakaa kwa muda, brother alikua anaishi na mwanamke wake mzuri sana, ila walikua hawajazaa but huyo mwanamke ako na mtoto wake, basi hiyo nyumba wamepanga ziko nyumba 3 ndani ya fensi moja, sasa hizo nyumba mbili wamepanga hao single mother nyumba moja, ingine ni mmama tu ako na mtoto wake.mmoja na house girl ila mwanaume wake huwa anakuja mala moja moja na anapesa (ni mume wa mtu so ye ni mchepuko tu ulipangishiwa nyumba nzima).

Hao wamama walikua wambea vibaya sana yani wao hata ukikaa nao like 2 minutes utajua mtaa mzima nini kinaendelea, so walikua mala nyingi wako tu nyumbani , sku moja wakaniambia unajua huyo shemeji yako hampendi huyo unaemwita kaka ako, hampendi na ndio maana hamzalii mtoto, kila mala amapata mimba anatoa, wakanipa hadi ushuuda kua wao.ndo humsaidia hata kumsafisha akinywa madawa yake ya kutoa mimba ikitoka, waliongea sana na mimi maneno yakaniingia. Basi hakuna kitu nachukia kama watu wanaotoa mimba, nikaanza kumchukia kidogo kidogo yule shemeji wakati nilikua nampenda sana hata alihisi kuna kitu i think, pia alikua na roho nzuri sana yule dada ila nikamchukia na nikiona wanagombana hata siwi upande wake tena like before, basi one day kweli kumbe alikua na mimba ila wao wawili tu na mumewe ndio wanajua, basi kumbe mimba tena ilitoka akiwa ndani, akapigia simu friends wake na shangazi yake wakaja kumsaidia, me nimetoka job hapo nakuta hali ndo hivo analia kwa uchungu, nakumbuka niliongea maneno mengi sana that day, nae alikua na hasira mbaya hiyo tukagombana hivo hivo akiwa mgonjwa namtuhumu anatoa mimba makusudi kama hamtaki si amuache, tuligombana sana hadi akanifukuza home, wale wamama wambea walikua nnje wanaskiza nilipotoka wananipongeza , mpaka wakanipa room kwao nikalala sababu ilikua usiku ila yule bro alikua hajarudi, nikaona kwenye dirisha shemeji katoa vitu vyangu vilivyobaki akavichoma moto hapo analia kwa uchungu na hasira, kumbe bwana anamatatizo tu ya kiafya na mimi nilikua sijui thats why mimba hua zinatoka pia.

Tukaachana me nikaenda kwa my friend mwingine alikua ashaanza chuo IFM alikua amepanga nyumba somewhere. Basi after like 1 year ushapita yule bro akanicall shemeji yako amejifungua mtoto wa kiume, nikampongeza hapo bado hatuongei na yule shemeji hata sikumpigia hata simu.

One day kama after 3 month yule bro tena usiku akanipigia akiwa na hudhuni kuu , akaniambia aisee shemeji yako hatunae tena, niliogopa sana nikamuuliza what happened akasema miaka yote shemeji yako ana kisukari, tena kikali sana na anaishi kwa hayo ma insulin, akasema jana yake waliendesha gari hadi morogoro kulikua na msiba wa babu wa huyo mwanamke so wakawachukua na ndugu baadhi wakaenda nao, walipofika shemeji akakumbuka amesahau kubeba insulin, na akamwambia please ninunulie insulin huku tafadhari manake nina stress ila bro akasema haina shida tutawahi kurudi (ubahili japo anasema aliona.mbona huwa anaweza kukaa hata 4 days au wiki nzima bila kuchoma so akaona kawaida tu hakuna kitu kitatokea in 24 hours) wakasema kesho yake wawahi kurudi (alikua muslim family so walizika siku hiyo hiyo) basi akasema asubuhi yake wameamka fresh tu akiwa mzima ila huyo bro kumbe alimgombeza sana wakafokezana na according tu doctor kumbe alikua haruhusiwi hata kua na stress sababu hiyo inapandisha sukari yake kwa haraka sana anaweza kufa, kumbe sukari ilipanda na alikua hana insulin, wakawasha gari kurudi Dar na kwenye gari wanasema alikua fresh tu, wamefika wanaita maili moja akasema wacha nilale, akalala, hadi wanafika ubungo bado amelala , sasa wanawashusha watu wengine walikua kwenye gari wanamuamsha haamki, kumbe ashakufa kitambo ni wa baridi na kaacha katoto kachanga ka 3 month, nikakumbuka lile tukio nilomfanyia na kumbe halikua kosa lake mimba kutoka ila ni sababu ya kisukari, nikaja kujua kumbe yeye ndio alikua hata anataka mtoto sana sana ila anashindwa na hicho kitu kimemuuma miaka mingi, hadi leo najiskia vibaya sana, nikaja kuangalia account yangu ya facebook nikakuta kumbe alinitafutaga kunijulia hali few days ago na akanipigia pia ila number ikawa haipatikani as nilimblock, aisee shemeji.nisamehe sana , hii kitu hadi leo inaniuma sana, sikupata nafasi ya kumuomba samahani eeeh Mungu i hope umenisamehe kwa hili. Alikua anakisukari thats why hata nilipomuapset wale wamama walinipia simu after two days amelazwa hospital. God forgive me kwa kile nilifanya[emoji20].

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app

Wewe jamaa utakuwa na tabia ya kutusi watu usiowajua...

Ushawahi nitolea lugha chafu hapa jukwaa, vile mimi ni mtu wa kupuuzia tu...

Nimesoma visa vyako viwili humu, nimepata picha...
 
Nilipambana kuipata kuipata pic moja kali sana kwa mwonekano, siku imekubali nikajikaza kumpeleka hotel ya nyota tatu.
Muda ulivowadia nilijuta, papuchi kuubwa kama kopo halafu ina harufu mbaya za kila aina. Nilijutia pesa yangu, nikajutia na muda. Kuanzia hapo nachukua wenye sura mbaya sana ni watamu sana ila usiwaangalie sana usoni
 
Kisa cha kununua dada poa.

Miaka kadhaa nyuma kipindi nasoma chuo mwanza nilishikwa na ukame balaa na ukichek nilikua mtu wa aibu kiasi. Nikaamua nimchek mshaji wangu mmoja wapi naweza pata huduma ya kupunguza uzito a.k.a dada poa.

Jamaa akanielekeza chimbo, chimbo lenyewe ni uwanja wa ccm kirumba kwa wenyej wa mwanza wanapafamu vizur usiku kuna dada poa wengi saana na kwa kipindi kile huduma ya fasta ni 2000 tu. So nkapanda gari hadi kirumba majira ya saa moja kwenda saa 2 hv. Kufik pale nilishangaa kinoma kuona ni wanawake wengi wanuza k wamejipanga kama wanasubiri daladala.

Baada ya kusoma upepo pale nkjichagulia mmoja, ubaya ni kwamba hakuna vyumba ni kuingia kwenye nyasi, basi tukaingia polini tayari kwa kazi. Kumbe polisi walikua doria ile naanza tu polisi hawa hapa, yule dada aliruka na kunisukuma na kukimbia kuona vile mwenyew niaanza kukimbia. Sikujua naelekea wapi nkajikuta nipo nyuma ya shule ya msingi ipo jilani na uwanja kumbe maeneo yale kuna bonge la mfereji unpitisha maji na umejaa tope. Nilijikuta nimetumbukia kwenye tope kuanzia kiunoni hadi miguuni na viatu kubaki hukohuko. Baada ya kutoka nkajikuta nimejaa tope mwili mzima na kurudi magetoni mbali siwez kupanda daladala kwa jinsi nilivyochafuka. Nilikaa mahali napoteza muda hadi saa nne nkachukua boda hadi magetoni kufika nakuta washkaji wapo nje. yupe jamaa alicheka kinomaaa akaanza kuwahadithia kuwa huyu alienda kununua dada poa kirumba atakuwa katolewa nduki na polisi sio bure, daaah nilifedheheka kinoma kozi kuna mademu walikuwepo chumba cha jilani walisikia halafu nilikua naheshimika kinoma coz nilikua mwenyekiti wa hostel. Sitasahau vyeo vyangu vyote jamaa alinivua kwa wale mademu na isitoshe nilikuwa nawamezea mate kinoma.
dah😀😀😀😀
 
Wewe jamaa utakuwa na tabia ya kutusi watu usiowajua...

Ushawahi nitolea lugha chafu hapa jukwaa, vile mimi ni mtu wa kupuuzia tu...

Nimesoma visa vyako viwili humu, nimepata picha...
Mkuu, wapi hapo nishakutolea lugha chafu? utakua umenifananisha mkuu au unless ilikua masihara ukachukulia serious ila lugha chafu sina, na hata kwenye story yangu hakuna mahala nimesema nilitoa lugha chafu, kuongea maneno mengi sio kwamba nilikua naongea lugha chafu, unaweza kumblame mtu bila hata kutoa maneno machafu ndugu.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Usiku mmoja nikiwa katika harakati za kutafuta elimu nipo mikoa ya watu shuleni kwetu dinning Hall ilikua pia inakodishwa kwa ajili ya shughuli nyingine za kijamii kama harusi na send off.
Hio siku prepo haikuepo kwa kua kulkua na shereh dinning mimi na wanangu wachache wahuni tukapanga tuvamie sherehe Ile ilosifika kua ya watoto wa matajiri wa mji ule.
Nikatoka general wa vita kwenda kutazama ulinzi na usalama na kuandaa plan ya kuzamia..kufika eneo la tukio nkascan haraka nkaona dress code suti nyeus na tai kwa wanaume uzur na shuleni ni maeneo ya baridi tulkua tunavaa suti pia.
Wanaume tukabadilika tukafika eneo la tukio mimi nkatokea kwenye parking kulkua na discovery imepaki nafika getini mlinzi wa getini ni jamaa wa mtaani ambae ananijuaga mm ni dent miyeyusho spend shule (huyu jamaa alkua anauza viatu raba nlkua naenda kuchukua za kwendea club usiku) wenzngu walifanikiwa kupenya mm ikashindikana
Kufika mishale ya saa 4 kwendea 5 akatoka dada mmoja mrembo tu akawa anaongea na simu (nafikiri alipigiwa na mmewe akitakiwa nyumban) nkamfata akanpa kadi akawasha gari yake akaondoka

Nkarudi getini tena yule jamaa anataka kunsukumizia mabaunsa nkatoa kadi akawa ananiangalia kwa kuntaman. Mwanaume nikazama ndani na kukuta wenzngu washapata na wachumba nkachagua angle moja nzuri ya nkatulia muda ukakatika mziki tukacheza na misosi tukala sana

Sasa kuna ule utaratb wa watu kukusanya vinywaji na makulaji na kufunga ili kwenda navyo majumban basi mwshon kabisa mwa shughul nikaona package kubwa ipo inazagaa zagaaa (sjui roho gan ikaniingia inanambia unaacha vinono ivo kesho utakinga ugal maharage nikajikuta nasogelea ule mzgo) katika malez yangu mm kitu sijawezaga ni kuchukua cha mtu basi nikachukua kile kifurushi aisee Ile nageuka nilipigwa mibanzi (yule mzee hatar anapiga mibanz kama sokwe) nkabak nimekua mdgo kusema nmuanzshie vagi yule mzee ningeweza ila ningezua soo kubwa ukizingatia nlizamia so yule mzee alinzaba mikofi kama 6 ivi na wala hakuongea na mm wala sikusema nikageuka kutazama wenzngu naona wanaparty na kina mama nkatoka nje nkaenda kulala uku nikiomba Ile mibanzi kusiwe na mtu ameiona na ndo ikawa ivo

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kisa cha kununua dada poa.

Miaka kadhaa nyuma kipindi nasoma chuo mwanza nilishikwa na ukame balaa na ukichek nilikua mtu wa aibu kiasi. Nikaamua nimchek mshaji wangu mmoja wapi naweza pata huduma ya kupunguza uzito a.k.a dada poa.

Jamaa akanielekeza chimbo, chimbo lenyewe ni uwanja wa ccm kirumba kwa wenyej wa mwanza wanapafamu vizur usiku kuna dada poa wengi saana na kwa kipindi kile huduma ya fasta ni 2000 tu. So nkapanda gari hadi kirumba majira ya saa moja kwenda saa 2 hv. Kufik pale nilishangaa kinoma kuona ni wanawake wengi wanuza k wamejipanga kama wanasubiri daladala.

Baada ya kusoma upepo pale nkjichagulia mmoja, ubaya ni kwamba hakuna vyumba ni kuingia kwenye nyasi, basi tukaingia polini tayari kwa kazi. Kumbe polisi walikua doria ile naanza tu polisi hawa hapa, yule dada aliruka na kunisukuma na kukimbia kuona vile mwenyew niaanza kukimbia. Sikujua naelekea wapi nkajikuta nipo nyuma ya shule ya msingi ipo jilani na uwanja kumbe maeneo yale kuna bonge la mfereji unpitisha maji na umejaa tope. Nilijikuta nimetumbukia kwenye tope kuanzia kiunoni hadi miguuni na viatu kubaki hukohuko. Baada ya kutoka nkajikuta nimejaa tope mwili mzima na kurudi magetoni mbali siwez kupanda daladala kwa jinsi nilivyochafuka. Nilikaa mahali napoteza muda hadi saa nne nkachukua boda hadi magetoni kufika nakuta washkaji wapo nje. yupe jamaa alicheka kinomaaa akaanza kuwahadithia kuwa huyu alienda kununua dada poa kirumba atakuwa katolewa nduki na polisi sio bure, daaah nilifedheheka kinoma kozi kuna mademu walikuwepo chumba cha jilani walisikia halafu nilikua naheshimika kinoma coz nilikua mwenyekiti wa hostel. Sitasahau vyeo vyangu vyote jamaa alinivua kwa wale mademu na isitoshe nilikuwa nawamezea mate kinoma.
Sasa nawee chuo bado uko domo zege? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleeeeh sanaaa.
 
Nilipambana kuipata kuipata pic moja kali sana kwa mwonekano, siku imekubali nikajikaza kumpeleka hotel ya nyota tatu.
Muda ulivowadia nilijuta, papuchi kuubwa kama kopo halafu ina harufu mbaya za kila aina. Nilijutia pesa yangu, nikajutia na muda. Kuanzia hapo nachukua wenye sura mbaya sana ni watamu sana ila usiwaangalie sana usoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Mkuu, wapi hapo nishakutolea lugha chafu? utakua umenifananisha mkuu au unless ilikua masihara ukachukulia serious ila lugha chafu sina, na hata kwenye story yangu hakuna mahala nimesema nilitoa lugha chafu, kuongea maneno mengi sio kwamba nilikua naongea lugha chafu, unaweza kumblame mtu bila hata kutoa maneno machafu ndugu.

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app

Mkuu mimi ni mtu wa kupuuzia lugha kali za JF, just relax...

Uzi nishausahau ila ID yako naikumbuka kwa sababu nimeshawahi kuishi Ipinda Kyela kando kando na njia ya kwenda Kasumulu border...
 
Nilikua na mpenzi wangu tulipendana sana ila aliniboa siku 1 tukazinguana sana hasa mimi nilikasirka kupita maelezo,nikakaa baadae halmashauri yangu ya kichwa ikaniambia "huyu demu ni malaya muache"

basi nikawa namtafutia sababu nimuache,kuna siku nimekaa mahali nikaona anapita na mwanaume wanatembea mdogo mdogo kuelekea kwao,mimi nikainuka nikaunga tela kwanyuma nione wanaelekea wapi na watapitia wapi.

Basi wakaingia uchochoro flani kagiza kalikua kameingia wakasimama wakawa wanaagana kwa kuongea tu ila maongezi hayaishi,mimi uvumilivu wakufata nyuma kwa kujificha ficha ili wasinione kama bodyguard ukanishinda,Nikatokea Paap kama mzimu.

nikamwambia kwanza yule jamaa,Oya sepaaa Jamaa akaniogopa kweli akasepaa,nikabaki na dem,kwakua tulikua tumegombana akawa ananijibu shit,namuuliza huyu NANI ananiambia "haikuhusu" asee nilimzabua zabua,pga makofi.

Nikampokonya simu ili niende ikagua,nikamwambia leo kila mwanaume wako humu naenda kumuua,ngoja nikawatafute. Hapo nishampiga sanaaa.Huyoo nikasepa na simu yake.

Kufika home simu haikua na password, (haya ma pattern ma password yameanza kutumika hivi karbuni tu) zamani watu wengi simu hazkua na password.

Nikaanza kupekua, kweli mtoto wa kike kutongozwa n kawaida sana, basi nikakuta chatting za wanaume wakimtongoza,ila na yeye alikua akiwakataa tena kwa kuwambia ana mpenzi wake anampenda sana na akawa anawatajia jina kabisa.

Jina ni langu Movies Store convo ya kwanza,nikatoka nikaingia ya pili nikakuta mwingine dem msimamo n ule ule hata atokeee mwanaume gani chni ya jua hawezi muachanisha na Movies Store.

nikaingia na nyingine na nyingine,kuna moja ikanimaliza kabisa n msg ya Asubuhi tu,ya siku hyo nlompokonya simu, Alikua anachat na dada ake sijui rafiki anamwambia leo inaenda wiki Movies Store hatuongei tumegombana,nateseka mwenzako sijui nafanyaje jaman, Rafki ake huyo anamwambia usijali mtakua sawa Tu kesho nitakusaidia kuongea nae, Dem akamshukuru sio kawaida.

Nikaanza kujutia kwann nilimpga mtoto wa watu kumbe ananipenda hvyo,Basi nikaendelea ku search nikaingia sehemu ya NOTEBOOK ya simu nikakuta malengo yake kwangu,jamani dada alinipenda yule sio kwa niliyoyakuta. Plan zake za kuja nifanyia kitu kwenye birthday yangu ya huo mwaka,mambo ni mengi mengi.

Nilijiona mkosaji mkubwa nikifkiria kpgo nlichomshushia yule mpenzi wangu,wakati naendelea pekua pekua simu yake ikaita nikapokea kumbe ni yeye kapga, akaniambia Movies Store baki na hiyo simu milele siitaki tena wala sitaki kukuona na wewe.

Niliomba msamaha wa kila aina ila ndio tayari nilimpoteza yule dada kwao n mwanza nataman siku 1 nirudi mwanza nikamtafute walau nimsalimie nimuone tena. Nikikuta kaolewa sawa tuu ila kama n urofa maishani niliowahi ufanya ni kumpoteza yule binti kwa sababu zangu za kijinga jingaaaa.

Tangu na hiyo siku nikiwa na mpenzi wangu Hata asimame na mwanaume nitakaa pembeni waongee wamalize,sishiki simu yake,naheshimu watu anao wasiliana nao ki ufupi mpenzi wangu hata nikute kabebwa mgongoni na mwanaume mwingine mimi sitosema kitu,nitanyamaza ntamwambia "baby naomba twende nyumbani muda wa kucheza umeisha"
[emoji1787][emoji1787] nimecheka sana.
 
Napamban ila wap.saiv Sina confidence Kwa wadada nikiwa alone Ngoma inasimama kama ukuni ila nikiwa Dem Ngoma inagoma *****
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km chizi, sababu sio hiyo, ila wee tyuuh hujawa concentration na wadada husika unao kuwa nao.
 
Ngoja leo na mm nisimlie kwa ufupi ujinga niliowai kuufanya.
Nilipomaliza o-level nilienda kujifunza mitambo baada ya kuhitimu nikarudi kitaa. Baada ya kama mwaka hiv nikapata nafas kwenye kampuni moja la ujenzi nikatinga nao kwa mda nikaondoka nikaenda kutafta chaka jingne. Sasa ndugu baadhi wakaanza kunishawishi kwann nisitafte chuo nikasomee mambo mengi (zile job za kukaa ofisini) utoto na stress nikaachana na mashine nikaenda kuchukua diploma cha maendeleo ya jamii. Nakumbuka nilipokuwa chuo niliwai zaid ya mara 3 na mwenye ile kampeni niliokuwa natinga nayo mwanzo na jamaa angu mmoja alikuwa yupo na nyanza road (kuna operator alikuwa anatka mtu wa kumshikia mashine yeye alikuwa amepata dharura) nikashike mashine ila nikawa napotezea. Sasa balaa likaja baada ya kuhitim hio diploma yao mambo yakawa hayasomi connection zote za mashine nimeisha poteza imenilazimu kuanza upya kutengeneza connection na maop wenzangu.
Yan had leo uwa najilaum kwenda chuo tena kusoma maana had leo sioni faida ya nilichokisomea
 
Siku niliyodhurumiwa 100,000.

Baada ya kumaliza chuo jijini mwnza mwaka 2016 nkaamua nibaki mwanza nijichanganye mtaani coz nyumbani hakuna dili na ukichek ajira hakuna kabisaa.

Nilikua na dogo langu moja linafanya kazi geita aliniagiza nimnunulie betri ya laptop yake, dogo alinipa laki moja, betri 70 na 25 ya usumbufu na nauli. Siku hyo nkatoka magetoni na sh laki moja na elf moja sikutaka kuchenji ile laki aliyonipa.

Nimefika zangu mitaa ya lumumba niasema ngoja Nile kwanza misele naweza kupata dili koz kwa kipindi kile life lilikua gumu full kujichanganya. Nkapita mitaa ya soko kuu kwa nyuma huku nkaona watu wanejazana nkasema ngoja namim nisogee naweza pata hata dili hapa. Kufika pale nkakuta wamejaza mavitu ndani ya jukwaa yana namba juu yake nkasema ngoja nisome mchezo hapa wanafanyaje

Kulikua na mdada pale alitoa sh 2000 akanunua tiket 2 akawapa pale wakachanganya changanya akashinda moja, moja akakosa. Alishinda begi, haya yenye magurudumu. Akataka kuondoka nalo wakamuuliza tukupe hela sh elf 60 au uende na bagi? akasema naomba hela, baada ya kupewa ile hela akatoa sh elf 5 akanunua tiket 5 akatugawia tuliokuwepo pale nakumbuka maneno yake "nanyie mmbahatishe". Baada ya kupewe ile ticket ya bure, sikuwa na mpango wa kucheza ila kwakuwa ni bure nkasema ngoja nicheze naweza pata hata hela hpa ikanisogeza kimtindo.

Baada ya muhusika kuchanganya changanya pale nilishinda tv kubwa. Moyoni nkasema afadhari naweza iuza nkapata kamtaji hapa. Yule muhusika alisema tv ina thamani ya laki 8 sasa unatakiwa utoe laki na nusu ili uchangie garama kidogo, nkasita kidogo pembeni kulikuwa na mdada umri kama miaka 35 hiv kwa mwonekano, yule dada alijifanya mwema saana kumbe ni walewale na alikua kajifunga ushungi.

Nkawambia hela hyo mmi sina, yule dada akadakia, " usiiache huyo tv kama hela haitoshi nikuchangie halafu mm tutajua tunafanyaje. Akasema kama una laki hapo toa mm ntatoa 50, nkajikuta nmezama mfukoni nkatoa laki nkawapa yule mama akajisachi pale akasema nna elf 30 ishirini sina. Nkasema sasa inakuwaje ungesema mapema nisitoe hela nkaanza kumaind, wale wanaochezesha wakasema ilete hyo 30 tutawasaidia. Baada ya kuwapa ile 30 wakaweka tket 3 mezani wakasema mnatakiwa mchague tkt 2 kati ya hzo tatu mkipatia namba sawa na za kwenye tv nawakabidhi mnaondoka nayo. Wakazchanganya zile tket 3 wakaweka mezani akaanza yule mdada akachagua moja kufunua kakosa, nikaja mm kufunua nmekosa. Wakasema basi mmeliwa, daaaaah nilipata mshtuko kinoma na ukichek hela sio yangu ni ya dogo mfukoni nimebaki sina kitu kabisa kale kachenji kwenye buku ya nauli nmekunywa soda nmebaki na 100. Nilijilaumu kinoma nkajua hapa nshaingia mkenge tayari,
Sitasahau nilitembea kwa miguu kutoka mjini hadi nyegezi magetoni huku kichwani nina gesi za kutosha za kizurumiwa na isitoshe hela haikuwa yangu.

Part 2 inakuja, nilimwambia nn dogo na nilifanikiwaje kurudi kufanya revange.
 
Siti ya mbele kabisa
 
Kisa cha kununua dada poa.

Miaka kadhaa nyuma kipindi nasoma chuo mwanza nilishikwa na ukame balaa na ukichek nilikua mtu wa aibu kiasi. Nikaamua nimchek mshaji wangu mmoja wapi naweza pata huduma ya kupunguza uzito a.k.a dada poa.

Jamaa akanielekeza chimbo, chimbo lenyewe ni uwanja wa ccm kirumba kwa wenyej wa mwanza wanapafamu vizur usiku kuna dada poa wengi saana na kwa kipindi kile huduma ya fasta ni 2000 tu. So nkapanda gari hadi kirumba majira ya saa moja kwenda saa 2 hv. Kufik pale nilishangaa kinoma kuona ni wanawake wengi wanuza k wamejipanga kama wanasubiri daladala.

Baada ya kusoma upepo pale nkjichagulia mmoja, ubaya ni kwamba hakuna vyumba ni kuingia kwenye nyasi, basi tukaingia polini tayari kwa kazi. Kumbe polisi walikua doria ile naanza tu polisi hawa hapa, yule dada aliruka na kunisukuma na kukimbia kuona vile mwenyew niaanza kukimbia. Sikujua naelekea wapi nkajikuta nipo nyuma ya shule ya msingi ipo jilani na uwanja kumbe maeneo yale kuna bonge la mfereji unpitisha maji na umejaa tope. Nilijikuta nimetumbukia kwenye tope kuanzia kiunoni hadi miguuni na viatu kubaki hukohuko. Baada ya kutoka nkajikuta nimejaa tope mwili mzima na kurudi magetoni mbali siwez kupanda daladala kwa jinsi nilivyochafuka. Nilikaa mahali napoteza muda hadi saa nne nkachukua boda hadi magetoni kufika nakuta washkaji wapo nje. yupe jamaa alicheka kinomaaa akaanza kuwahadithia kuwa huyu alienda kununua dada poa kirumba atakuwa katolewa nduki na polisi sio bure, daaah nilifedheheka kinoma kozi kuna mademu walikuwepo chumba cha jilani walisikia halafu nilikua naheshimika kinoma coz nilikua mwenyekiti wa hostel. Sitasahau vyeo vyangu vyote jamaa alinivua kwa wale mademu na isitoshe nilikuwa nawamezea mate kinoma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Nilipambana kuipata kuipata pic moja kali sana kwa mwonekano, siku imekubali nikajikaza kumpeleka hotel ya nyota tatu.
Muda ulivowadia nilijuta, papuchi kuubwa kama kopo halafu ina harufu mbaya za kila aina. Nilijutia pesa yangu, nikajutia na muda. Kuanzia hapo nachukua wenye sura mbaya sana ni watamu sana ila usiwaangalie sana usoni
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom