Cnjona usinikumbushe yale mambo ya mwaka 2008 bwana, kwenye kagame cup.nawashauri YANGA wasiungane na simba katika hilo, ni bora waamue kivyao , maana kila jambo wanalojaribu kuungana simba wanawasaliti.
tff sina uhakika kama kuna binadamu pale,hakynani wabongo sisi like mazombie yaani ratiba ya hispain ituvurugie ratiba yetu??sisi tukoje mbona malizi unakua na ubongo wa bata?tumelogwa na nan sie,napata hasira sana ligi yenyewe mbovu badala ya kuiboresha mnataka kuiua kabisa mbmbu zenu nyie fft