Kisa laliga,,,tff,bodi ya ligi na azam tv wapangua ratiba vlp

Kisa laliga,,,tff,bodi ya ligi na azam tv wapangua ratiba vlp

bujashi25

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2013
Posts
623
Reaction score
112
TFF na Bodi ya ligi kushirikiana na Azam TV
wamebadilisha muda wa mechi kuanza za ligi kuu
Tanzania bara kwa kigezo kuwa ziishe mapema ili watu
waweze shuhudia ligi kuu ya spain "La Liga",badala ya
saa 10: 00 alasiri kuanzia kesho mechi zitaanza saa 9 :
00 alasiri jambo lililopingwa vikali na vilabu shiriki!
huku Yanga na Simba wakitoa tamko kuwa wapo tayari
kususia mechi za ligi.
 
Wasiwasi wangu hilo laweza kuwa tego kwa Yanga maana simba mara nyingi huwa msaliti katika mambo wånåyokubaliana na yanga kuonesha msimamo ikizingatiwa mabadiliko ya mda yanaanza rasmi rasmi. kwenye mechi zå. kesho j.mosi yanga akiwa uwånjån dhidi yå jkt ruvu afu. simba yeye ni jpili sitoshångaa akiingiza timu saa nane ili kuipa. heshima ligi ya spain laliga
 
Tunakuza ligi ya spain badala yetu.Yaani ratiba ya
spain ndio itubadilishie ratib yetu ya ligi kuu
vodacom????
 
Dawa ni kuongeza chaneli na sio kubadili ratiba hili nilakufuatilia kiundani..
 
Malinzi amalize tu mda wake tushamchoka na maauzi ya kibabe....
 
Nataka nishuhudie kama kweli watasusa
 
chaneli zipo za kutosha mbona
nahisi kuna lingine sio hilo
 
Saa tisa mchana ni jua kali sana na ni muda wa kazi naona mpango wa kupunguza mahudhurio viwanjani unaendelea kufanikiwa
 
tff sina uhakika kama kuna binadamu pale,hakynani wabongo sisi like mazombie yaani ratiba ya hispain ituvurugie ratiba yetu??sisi tukoje mbona malizi unakua na ubongo wa bata?tumelogwa na nan sie,napata hasira sana ligi yenyewe mbovu badala ya kuiboresha mnataka kuiua kabisa mbmbu zenu nyie fft
 
nawashauri YANGA wasiungane na simba katika hilo, ni bora waamue kivyao , maana kila jambo wanalojaribu kuungana simba wanawasaliti.
 
nawashauri YANGA wasiungane na simba katika hilo, ni bora waamue kivyao , maana kila jambo wanalojaribu kuungana simba wanawasaliti.
Cnjona usinikumbushe yale mambo ya mwaka 2008 bwana, kwenye kagame cup.
 
Wako sahihi Azam TV BORA KUMUANGALIA KING MESSI
 
mariinzi ni laana kwa soka la bongo, tenga alijenga makao makuu ya tff huyu jamaa badala ya kuboresha ofisi yeye kaona ni zakilofa hawezi kukaa ameamua kupangisha ofice city centre, huu ni ufisadi wa wazi amekuja kuua misingi yote ilijengwa na utawala uliopita
 
Duniani kote ambako soka limendelea, ratiba hupangwa na televisheni ambayo imepata haki ya matangazo ya kuonesha mechi husika, hivyo hakuna cha ajabu hapo. Unajua kwanini Supersport HD 5 kwa sasa ndo official kwa Ligi Kuu England na Supersport HD 3 ni official kwa La Liga?
 
Sijaona mantiki kabisa. Watu wanaoangalia TV ni wengi sana ukilinganisha na wanaokwenda viwanjani kuangalia mpira. Kwa mfano Dar; kwa kuchukulia kuna mechi Taifa na Azam complex ni watu wasiozidi elfu 70 tu ndio wanakuwa viwanjani. Zaidi ya watu laki 5 wanaangalia mpira kwenye TV. Kwanza mechi za la liga za weekend inayochezwa mapema ni moja au sana sana 2 tu. Nyingine zote usiku.
 
tff sina uhakika kama kuna binadamu pale,hakynani wabongo sisi like mazombie yaani ratiba ya hispain ituvurugie ratiba yetu??sisi tukoje mbona malizi unakua na ubongo wa bata?tumelogwa na nan sie,napata hasira sana ligi yenyewe mbovu badala ya kuiboresha mnataka kuiua kabisa mbmbu zenu nyie fft

AZAM amenunua haki za VPL pia ana haki za LA LIGA...Kwa hio ni ishu ya mdhamini AZAM
 
Back
Top Bottom