Amani Ayoub ambaye ni Mwenyekiti, UVCCM - UDSM Mabibo - Hostel amemkabia kwa juu na Elia Evarist ambaye ni Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA kisa hoja ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya 'No Reform No Election' na Katiba Mpya akidai hoja haina mashiko.