PostGE2025 Kisa maandamano ya D25, Mitume na Manabii waitaka jamii kukataa kuinajisi Krismasi

PostGE2025 Kisa maandamano ya D25, Mitume na Manabii waitaka jamii kukataa kuinajisi Krismasi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Rais wa Umoja wa Makanisa ya Kitume na Kinabii Tanzania Dkt. Nabii Joshua Aram Mwantyala ametoa wito kwa Wakristo nchini kujiepusha na matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya sikukuu za Krismasi 2026, akiwataka kuitumia sikukuu hiyo ya kuzaliwa kwa 'Mfalme wa amani' kutafakari na kuomba neema na baraka kwa Mungu.

Nabii Mwantyala amebainisha hayo mjini Morogoro leo Jumanne Disemba 16, 2025 wakati akitoa tamko la Jumuiya ya Makanisa ya Kitume na Kinabii Tanzania, akionya kuhusu watumishi wa Mungu wanaowarubuni wananchi akiwaita Wachungaji wa tumbo, akiwalaani pia waliowatuma.
 
Waaache waandamane kwakuwa sikio la kufa huwa halisikii dawa.

The same ignorant people in different seasons
1905-1907 then 29/10

Majimaji war versus .....kidding
 
Back
Top Bottom