Kisa Manara, maandamano makubwa ya wana Yanga Bujumbura

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Mkiambiwa manara ni duuude kuuubwa mnabisha, huyo karia akae kwa kutulia yaani kagusa waya wa moto na kama ikifika jumatatu hajamuomba radhi manara ajue hadi week ijayo atatolewa kwenye hiko cheo

Jijini Bujumbura wana yanga kindakindaki wameandaa maandamano ya amani kuelekea ubalozi wa Tanzania kutaka afisa wa team yao manara atolewe kifungoni mara moja la sivyo watachukua maamuzi magumu

Wanamkubali sana , wanamkubali hekima zake na wamekataa kuamini kwamba afisa wao ni kichaaa mropokaji
wanakumbuka jinsi alivyosaidia mechi yao vs cameroon jijini dar es salaam ilivyotapika pomoni baada ya nchi yao ya Burundi kumkabidhi jukumu hilo mr Manara ambaye kwa miaka hii amelipaisha soka la Tanzania na kusababisha ligi ya bongo iiingize teams 4 michezo ya CAF

***Hongereni Yanga of Burundi hayo ndiyo maamuzi ya kiume siyo uongozi lelemama wa Hersi said kanyamaza kimya badala ya kuingiza wanayanga mtaani kwa maandamano wasimamishe shughuli zote za kijamii hadi manara aachiwe

 
Hakika utopolo akili hayana
 
kwani iyo yanga ni team ya burudi
 
GSM anaweza kuendesha makundi ya kigaidi kabisa kama anaweza kutoa pesa nje ya nchi ili watu waandamane kwa ajili ya mpuuzi mmoja tu.
Mbona aliwahi kufungiwa huko nyuma walikuwa wapi?
 
Ila warundi huwa na shobo sana na Tanzania,nchi ambayo sisi tunataka kuihama wao siku zote uiona ni nchi ya maziwa na asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…