eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Kutokana na ujanja uliofanyika wa kumsajili aliekua mchezaji wa Yanga Bernard Morrison, bila ya yeye kuhusishwa kumepelekea mtendaji huyo mkuu kuachia ngazi ili kutunza CV yake isiharibiwe, kwani anadai kitakacho tokea siku za usoni kuhusiana na swala hilo itakua ni aibu kubwa kwa klabu hio, na yeye hataki kuwa mmoja wapo. Stay tune.
Tumeshasema Hii kuendesha timu Kama kijiwe kunaliabisha Taifa Zima.. wale hujiita watoto wa Mjini lakini ukweli ni wapuuzi wa Mjini na washamba wa future maana mwisho wao ni hype za siku mbili tatu na ujanja ujanja na sifa za mtaani Ila hawaendi popote... Senzo was good for Simba... Mo kateleza. Future is systematic sio blahblah wanazofanya. Wanasimba tuwakatae.Kutokana na ujanja uliofanyika wa kumsajili aliekua mchezaji wa Yanga Bernard Morrison, bila ya yeye kuhusishwa kumepelekea mtendaji huyo mkuu kuachia ngazi ili kutunza CV yake isiharibiwe, kwani anadai kitakacho tokea siku za usoni kuhusiana na swala hilo itakua ni aibu kubwa kwa klabu hio, na yeye hataki kuwa mmoja wapo. Stay tune.
Unaongea kishabiki sana. Mipango ya kwenda Yanga ilikuwepo hata kabla ya Morisson kusajiliwa juzi.Kutokana na ujanja uliofanyika wa kumsajili aliekua mchezaji wa Yanga Bernard Morrison, bila ya yeye kuhusishwa kumepelekea mtendaji huyo mkuu kuachia ngazi ili kutunza CV yake isiharibiwe, kwani anadai kitakacho tokea siku za usoni kuhusiana na swala hilo itakua ni aibu kubwa kwa klabu hio, na yeye hataki kuwa mmoja wapo. Stay tune.
Unaongea kishabiki sana. Mipango ya kwenda Yanga ilikuwepo hata kabla ya Morisson kusajiliwa juzi.
Niliwahi kuandika hapa kwenye huu uzi Yanga, GSM kuweni makini na ajira/usajili wa kocha msaidizi wiki moja hata kabla Morisson hajafikiriwa kuja Simba
View attachment 1532321
Hayo ameyasema wapi?... kwani anadai kitakacho tokea siku za usoni kuhusiana na swala hilo itakua ni aibu kubwa kwa klabu hio, na yeye hataki kuwa mmoja wapo. Stay tune.