eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Kutokana na ujanja uliofanyika wa kumsajili aliekua mchezaji wa Yanga Bernard Morrison, bila ya yeye kuhusishwa kumepelekea mtendaji huyo mkuu kuachia ngazi ili kutunza CV yake isiharibiwe, kwani anadai kitakacho tokea siku za usoni kuhusiana na swala hilo itakua ni aibu kubwa kwa klabu hio, na yeye hataki kuwa mmoja wapo. Stay tune.