Kisa: Nilivyo fukuzwa kwenye nyumba niliyo panga kwasababu ya nanii

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,788
Reaction score
113,025
Kwanza nilikua bize sana ndiomaana sikuleta mrejesho wa tukio lililo nipata wiki iliyopita.....

Kile chumba nilichokua nimepanga hakikua na dari juu, sasa wapangaji wenzangu (mke na mumewe) walikua wakifanya mambo yao nasikia, ila walikua wanawasha radio kwa sauti ya juu hata usiku wa maneno.

Hii hali ilipo zidi nikasema ngoja nishtaki kwa mama mwenye nyumba....
Walipo itwa wakahoji kwa mama mwenye nyumba kwamba....
Wapangaji: Kwani mama hua hatulipi kodiyako kwa wakati?
Mwenye nyumba: Mnanilipa vizuri bila tatizo lolote.

Wapangaji: Kwahiyo basi ya wapangaji tuachie wenyewe na kama mtu hana redio anunue kubwa kuliko yakwetu.

Balizi: Basi naomba tufunge kikao.
Mie nikasema poa, nikaanza mkakati wa kuwakomoa.....
Kesho yake nikanunua pilipili kichaa ya kutosha na mkaa.

Then nikasubiri jioni imefika, nikawasha moto kwenye jiko la mkaa.... nikasubiri muda wa kulala nikaingiza jiko ndani nikatenga ile pilipili kwenye sufuria, nikatia mafuta ya kula kidogo kisha nikatenga kwenye jiko.
Baada ya ile pipilipi ilipo anza kuiva kama inaungua ikaanza kutoa moshi unao washa.....

Mie nikatoka nikafunga mlango na kufuli kisha nikaenda kulala zangu loji....🤣
Kesho yake nilipo rudi nikakuta kikao wananisubiri na balozi, nikawasalimia huku nikamuona jirani na mkewe sura zimekua nyekunduuu....😜

Wanakohoa huku kamasi jembamba likiwatoka kama maji....😂
Balozi alipo niuliza nimefanya nini, nikamjibu yawapangaji atuachie tutamalizanq wenyewe.....🤣
Yaani nilifukuzwa kwenye mtaa alloooo....
 
Hahaha

Lazina hadi maungo yao yaliwashwa, maana walikua wamevimba sura kama wameliwa na nyuki....😜😜
Kwahiyo taita wewe hunaga cha j3 Kila siku unagida tuu kwa sisi tunaokujua mambo ya chumba hakina paa tunajua ni chupa ya 6 ina type 😂 nakukumbusha ufike msibani tajiri, msiba wetu sote shekh
 
Nawapa maujuzi vijana, ili nikija ondoka mnikumbuke kwa yote mema
 
Back
Top Bottom