Kisa nishati safi, Tulia Ackson aweka Uspika pembeni. Aingia jikoni kupika

Kisa nishati safi, Tulia Ackson aweka Uspika pembeni. Aingia jikoni kupika

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Huko mitandaoni, Mbunge wa Mbeya Mjini, kuna video inamuonesha Tulia Acskon akiwa jikoni anapika ambapo alikuwa anatumia nishati safi aina ya mtungi wa gesi.

Tulia anaonekana akiwa kwenye nyumba chakavu anapika huku akiwa anasiia namna ambavyo nishati safi inarahisisha shughuli yake ya kupika.

Soma pia: Kama Rais Samia anaingia jikoni kupika basi hapa kuna la kujifunza

Binafsi nimepata maswali mengi mara baada ya kutazama video hiyo.

Nimejiuliza ni je Tulia anatafuta sympathy ya wananchi wa hali ya chini au kuna agenda ya siri anataka kuitekeleza kupitia video hiyo!

 
Back
Top Bottom