Kisa Simba tovuti ya CAF jana ilitembelewa na watu bilioni 1.3

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Haijawahi kutokea katika historia ya mpira wa Africa tovuti kutembelewa na watu wengi kwa wakati mmoja kama jana

Baada ya CAF kutoa tamko la kubadili uwanja ,tovuti yao ilitembelewa na waru zaidi ya bilioni 1.3

Kweli Simba ni brand kubwa
 
downloadfile.gif
 
Kwa makolo hili ni moja ya mafanikio ya timu.

Ni mafanikio kama vile kufungua whatsapp Channel na kibegi.
 
Haijawahi kutokea katika historia ya mpira wa Africa tovuti kutembelewa na watu wengi kwa wakati mmoja kama jana

Baada ya CAF kutoa tamko la kubadili uwanja ,tovuti yao ilitembelewa na waru zaidi ya bilioni 1.3

Kweli Simba ni brand kubwa
Uzuri ilitembelewa na "waru" (kama ilivyo kwenye bandiko lako) ila sio watu.
 
Haijawahi kutokea katika historia ya mpira wa Africa tovuti kutembelewa na watu wengi kwa wakati mmoja kama jana

Baada ya CAF kutoa tamko la kubadili uwanja ,tovuti yao ilitembelewa na waru zaidi ya bilioni 1.3

Kweli Simba ni brand kubwa
Afrika ina watu bilioni ngapi?
 
Ndio maana Waziri mkuu alisema Wahitimu wapelekwe Veta😂😂. Unakuta mtoa mada hajui hata Billion ina digit ngapi!!😂😂🙌
 
Back
Top Bottom