KabisaUkiwa muhongo uwe na kumbukumbu
Au ArushaKikeke alijichanganya kwenye kuchagua wapi agombee...
Angeenda hata tabora, wanyamwezi hawaangaliagi umezaliwa wapi...
Kama baba yako wa kambo ni wa Tukuyu unaweza kusema wewe wa Mbeya piamimi nilizaliwa mwananyamala - Dar, lakini ni mzaliwa wa Uru kishumundu, kwa kuwa wazazi wangu wote ni wa Uru Kishumundu
Pengine ni tafsiri tu...
Kataja hadi hospitali aliyozaliwa KCMCmimi nilizaliwa mwananyamala - Dar, lakini ni mzaliwa wa Uru kishumundu, kwa kuwa wazazi wangu wote ni wa Uru Kishumundu
Pengine ni tafsiri tu...
Hii dunia ina watu waongo
Maajabu ya Dunia Salim Kikeke alisema alizaliwa Mbeya baadaye akijieleza kura za maoni akasema alizaliwa kilimanjaro
View: https://youtu.be/QjP3BTGa7ME?si=5f-6qEmgW3qQySHt
Unabishia chawa wa kikekeKataja hadi hospitali aliyozaliwa KCMC
Usiongeze uongo na wewe
Hii dunia ina watu waongo
Maajabu ya Dunia Salim Kikeke alisema alizaliwa Mbeya baadaye akijieleza kura za maoni akasema alizaliwa kilimanjaro
View: https://youtu.be/QjP3BTGa7ME?si=5f-6qEmgW3qQySHt
Hii dunia ina watu waongo
Maajabu ya Dunia Salim Kikeke alisema alizaliwa Mbeya baadaye akijieleza kura za maoni akasema alizaliwa kilimanjaro
View: https://youtu.be/QjP3BTGa7ME?si=5f-6qEmgW3qQySHt
Salum kikeke ni mzaliwa wa soni jimbo la bumbuli ni msambaa huyoUkiwa muongo hakikisha una kumbukumbu
Kwishaaaaa
Kwani Ali kiba siku hizi ni mtangazaji?Sio kwamba ali kiba ndio anafanya kazi kwa kikeke?
Kuajiriwa kituo cha habari ni hadi uwe mwandishi wa habari..??Kwani Ali kiba siku hizi ni mtangazaji?
🤣🤣🤣Ukiwa muongo hakikisha una kumbukumbu
Kwishaaaaa
MakubwaSalum kikeke ni mzaliwa wa soni jimbo la bumbuli ni msambaa huyo
Salim Kikeke ambaye ni mtia ya Ubunge jimbo la Moshi Vijijini imembidi kudangaya mahali alipozaliwa ili kushinda mioyo ya wajumbe. Huko nyuma wakati anahojiwa alisema kazaliwa mkoani Mbeya, hivi juzi akiwa mkoani Kilimanjaro wakati akijinadi akasema kuwa kazaliwa KCMC mkoani Kilimanjaro.
Mimi natoka Tanzania. Nilizaliwa Mbeya, nikakulia Mbeya, nikakulia Arusha, Moshi na Tanga hatimaye kwenda Dar es Salaam.
Nimezaliwa KCMC (Moshi), nimekulia hapa Moshi, nyumba yangu Soweto (Moshi), makazi yangu sasa hivi ni Mabogini (Moshi)
Nafikiri Ustaadhi Salim Kikeke, alizaliwa kiroho Mbeya halafu akazaliwa kimwili KCMC - Moshi. Najaribu kumuelewa tu…
Anyways, kesho ndugu yangu Salim Kikeke anaweza kusema kazaliwa huko Marangu Kiraracha kule kwa Lyatonga Mrema.
NB; Ustaadhi Salim Kikeke kasema ataongeza soko la nguruwe Moshi Vijijini kwa kutafuta soko na viwanda vya uchakataji. 🙆🏾
Hii ahadi nakubaliana nayo kabisa tena nikiona inatoka kwa mtu ambaye ni ‘ustaadhi’ swala tano, Aaah! Kitimoto siyo haramu…
Kitu pekee kinaweza kutupa shida, ni historia ya marehemu. Tutaandika nini? Amezaliwa Mbeya au Moshi-Kilimanjaro?
Mambo ni mengi sana.