Kisa Ubunge, Salim Kikeke adanganya mahali alipozaliwa

Salum kikeke ni mzaliwa wa soni jimbo la bumbuli ni msambaa huyo
Makubwa

Kwa huiyo kazaliwa mbeya kisha akaenda kuzaliwa Kilimanjaro halafu akamalixia kuzaliwa Bumbuli

Kikeke kiboko

Apewe taji la tapeli aliyekubuhu wa mwaka 2025
 
Ng'wizukulu wa Buganda umenichekesha sana ndugu yangu,yaani siku nyingi nimekuwa nikiwaza kuna nini huku kwenye ubunge,yaani kikeke kutoka BBC hadi Moshi Vijijini anatafuta nini?,

Kuna siku nilisikia wanasema amezaliwa Kahe kule anakotoka yule mchafua nchi,muasi wa nchi yake ya asili mange Kimambi,hii dunia raha sana ukifa kwa msongo wa mawazo ni wewe tu
 
Vetting kuna shida ingekuwa vizuri Kikeke asingepitishwa angekatwa na kamati kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…