Kisa wivu wa mapenzi, mume adaiwa kumuua mke kisha kumtenganisha kichwa, kiwiliwili na viungo vingine

Hii ingekuwa mkoa wa Mara, ungesikia makurya hayo makatili, mauaji! Wangepewa majina yote mabaya.
 
Huu ni USHENZXYYY... ushirikina Mwingi
 
Aiseeeeee Nmechoka
 
Ee Mungu sasa tunaenda wapi
Magdalena alidai viungo vingine vya sehemu za siri na matiti vilipatikana karibu na mlango, kwenye mafiga ya jiko, ndipo alipozika, huku akitaka watoto wake wapikie hapo mara kwa mara, kwani ameweka mbayuwayu wake akauke kwa ajili ya kutengenezea dawa.[emoji15][emoji3064][emoji17]
 
Huo Ni ushirkina siyo wivu wa mapenzi mjaribu kutofautusha ushirkina na wizu wa mapenzi
Magdalena alidai viungo vingine vya sehemu za siri na matiti vilipatikana karibu na mlango, kwenye mafiga ya jiko, ndipo alipozika, huku akitaka watoto wake wapikie hapo mara kwa mara, kwani ameweka mbayuwayu wake akauke kwa ajili ya kutengenezea dawa.
 
_King we fala si wa kanda ya ziwa? Naomba muache yule binti wa kule jukwaa la Snap it.
πŸ˜ŠπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Kale ka demu chenga nishapiga chini sema katamuu kinoma .. nikichoka nitarudi kupiga kamuagano
 
Hii inankumbusha kuna yule jamaa yeye alimkata kata mkewe akafunga viungo akapeleka kwa wakwe zake akawaambia nimemleta mtoto wenu, dah jamaa mkatili sana aisee.. haya mambo haya yanasikitisha sana
 
Inatakiwa ukizidiwa wivu jiue mwenyewe na sio kuua mtu
 
Dunia uwanja wa vita.. Mwenye nguvu anashinda
Tena kwa sasa ni zaidi ya Uwanja wa vita rafiki.

Yaani mpaka saa ingine unajisemea bora hii kitu inayoitwa mapenzi isingekuwepo sababu now days imekuwa kila sehemu inasababisha vilio tu.
 
Ila umekadharau sana eti kademu. Lol.

Haya bana rafiki wajomba wanakusalimia hapa. πŸ˜‚
Mtani wangu huyoo.. hatuna hayo mambo na sijawai kumkula mtu JF na haitakuja tokea πŸ˜…πŸ˜… Unaanzi wapi kuwa na feeling na ID jamani..
 
Tena kwa sasa ni zaidi ya Uwanja wa vita rafiki.

Yaani mpaka saa ingine unajisemea bora hii kitu inayoitwa mapenzi isingekuwepo sababu now days imekuwa kila sehemu inasababisha vilio tu.
Ila ukiona kuna kibaya kizuri kipo, kuna watu wana enjoy hadi kufa kwao na kuna watu yanawatesa hadi kufa kwao
 
Mtani wangu huyoo.. hatuna hayo mambo na sijawai kumkula mtu JF na haitakuja tokea πŸ˜…πŸ˜… Unaanzi wapi kuwa na feeling na ID jamani..
Hebu toka hapa. πŸ˜‚

Tena watu wenye kauli hizi ndo wakuangalia atii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…