Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni USHENZXYYY... ushirikina MwingiMwanaume mmoja Mkazi wa Kitongoji cha Lubela, Mtaa wa Nyashimbi, Kata ya Mhongolo wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Bundala Mathew anashikiliwa na Polisi, kwa tuhuma ya kumuua mkewe, Rehema Nyamgila kwa kumcharanga mapanga.
Imedaiwa baada ya kutekeleza mauaji hayo, alitenganisha viungo vya mwili wa mkewe na kuchukua baiskeli na kuvisafirisha mpaka mbugani usiku wa manane na kuvitawanya ili kupoteza ushahidi.
Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, Magdalena Katambi ambaye ni mtu wa karibu na familia hiyo, alidai kuwa tukio hilo liligunduliwa na mtoto wa marehemu, Ezekiel Bundala tarehe 27 Mei 2022.
"Nilienda kumjulia hali mtoto aliyekuwa anaumwa, ndipo Ezekia akanijulisha kuwa mama yake hayupo funiani.
“Ameniambia aligombana na baba yake kwa kuwa aliona beseni likiwa na damu lakini baba yake akawa anasema hizo ni rangi tu na siyo damu.”
Anasema wakatoa taarifa kwa ndugu, majirani na Polisi, ndipo mtuhumiwa baada ya kubanwa akawapeleka alipoutupa mwili, wakaukuta ukiwa umekatwa vipande.
Alidai ljumaa mwili ulipelekwa kuhifadhiwa mochwari ya Hospitali ya Manispaa ya Kahamana, 28 Mei 2022, Polisi walirudi na mtuhumiwa kuonesha mahali alipohifadhi viungo vingine vya mwili huo, ndipo kichwa kikapatikana kimezikwa juu ya kaburi la marehemu babu yake kwa mama.
Magdalena alidai viungo vingine vya sehemu za siri na matiti vilipatikana karibu na mlango, kwenye mafiga ya jiko, ndipo alipozika, huku akitaka watoto wake wapikie hapo mara kwa mara, kwani ameweka mbayuwayu wake akauke kwa ajili ya kutengenezea dawa.
"Baada ya askari kumhoji tena wapi vilipo viungo vingine, aliwapeleka mbugani ulikookotwa mwili katikati ya majaruba ya mpunga ilipatikana mikono na magoti, lakini wakati huo vidole vya mikono na miguu havikuonekana, kwa kweli tukio hili limetusikitisha na kutuachia simanzi kubwa," alisema Magdalena.
Hata hivyo, mama mzazi wa mtuhumiwa, Mhoja Bundala alidai kupata taarifa kwa watu kuwa mwanawe ameachana na mkamwana wake, hivyo akawa anasubiri taarifa rasmi kutoka kwake, lakini ajabu aliletewa taarifa za tukio hilo la kushitua.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Nyashimbi, Peter Nzingula alisema tukio hlilitokea usiku wa Mei 27, 2022.
Anasema alipohojiwa chanzo cha kufanya unyama huo, mtuhumiwa alidai alikuwa na wivu wa mapenzi.
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Mhongolo, Boniphace Maziku alidai kuwa tukio hilo lilitokea kwenye kata yake Mtaa wa Nyashimbi, na alishirikiana na viongozi wa ngazi ya mtaa, kutoa taarifa sehemu husika, na sasa uchunguzi wa tukio unaendelea Polisi.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, George Kyando amethibitisha uwepo wa tukio hilo na kuongeza kuwa uchunguzi wake unaendelea, na sheria itachukua mkondo wake.
Marehemu Rehema ameacha watoto wanne.
Source: MwanaHalisi
Aiseeeeee NmechokaMwanaume mmoja Mkazi wa Kitongoji cha Lubela, Mtaa wa Nyashimbi, Kata ya Mhongolo wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Bundala Mathew anashikiliwa na Polisi, kwa tuhuma ya kumuua mkewe, Rehema Nyamgila kwa kumcharanga mapanga.

Magdalena alidai viungo vingine vya sehemu za siri na matiti vilipatikana karibu na mlango, kwenye mafiga ya jiko, ndipo alipozika, huku akitaka watoto wake wapikie hapo mara kwa mara, kwani ameweka mbayuwayu wake akauke kwa ajili ya kutengenezea dawa.[emoji15][emoji3064][emoji17]Ee Mungu sasa tunaenda wapi

Magdalena alidai viungo vingine vya sehemu za siri na matiti vilipatikana karibu na mlango, kwenye mafiga ya jiko, ndipo alipozika, huku akitaka watoto wake wapikie hapo mara kwa mara, kwani ameweka mbayuwayu wake akauke kwa ajili ya kutengenezea dawa.Huo Ni ushirkina siyo wivu wa mapenzi mjaribu kutofautusha ushirkina na wizu wa mapenzi
Huyu ndo said aliyejipiga risasi?hii vita hatuimalizi mpaka wanawake wabaki kwenye mstari ulionyooka
Hii tabia ya ovyo nayo imeingia usukumani? Inabidi sungusungu irudi Sasa,
"Kweli bhasalama"
Duuh!😊😅😅😅 Kale ka demu chenga nishapiga chini sema katamuu kinoma .. nikichoka nitarudi kupiga kamuagano
Rafiki acha basi .. siku ziende 😅😅😅Duuh!
Dunia uwanja wa vita.. Mwenye nguvu anashindaKila leo afadhali ya jana.
Ila umekadharau sana eti kademu. Lol.Rafiki acha basi .. siku ziende 😅😅😅
Tena kwa sasa ni zaidi ya Uwanja wa vita rafiki.Dunia uwanja wa vita.. Mwenye nguvu anashinda
Mtani wangu huyoo.. hatuna hayo mambo na sijawai kumkula mtu JF na haitakuja tokea 😅😅 Unaanzi wapi kuwa na feeling na ID jamani..Ila umekadharau sana eti kademu. Lol.
Haya bana rafiki wajomba wanakusalimia hapa. 😂
Ila ukiona kuna kibaya kizuri kipo, kuna watu wana enjoy hadi kufa kwao na kuna watu yanawatesa hadi kufa kwaoTena kwa sasa ni zaidi ya Uwanja wa vita rafiki.
Yaani mpaka saa ingine unajisemea bora hii kitu inayoitwa mapenzi isingekuwepo sababu now days imekuwa kila sehemu inasababisha vilio tu.
Hebu toka hapa. 😂Mtani wangu huyoo.. hatuna hayo mambo na sijawai kumkula mtu JF na haitakuja tokea 😅😅 Unaanzi wapi kuwa na feeling na ID jamani..