Kisa wivu wa mapenzi, mume adaiwa kumuua mke kisha kumtenganisha kichwa, kiwiliwili na viungo vingine

Kutoka gunia mbili za mkaa ikaja risas 7
Haikukaa sana upanga ukeni ukizungushwa 360Β° mara paaap shingo na mwili vinaachana

Yajayo yanafikirisha wanawake mbadilike lasivyo mtaisha kimasihara
 
Hebu toka hapa. πŸ˜‚

Tena watu wenye kauli hizi ndo wakuangalia atii.
Sio mimi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mie toka nimejiunga jf sijawai pata hiyo bahati na huenda siku ikitokea nitaanzisha thread kabisa.. Au nafail sijui wapi au kwakua sina gari ma nyumba kali
 
Ila ukiona kuna kibaya kizuri kipo, kuna watu wana enjoy hadi kufa kwao na kuna watu yanawatesa hadi kufa kwao
Hakika rafiki japo kwenye hizi mambo za kuuwana siku hizi hazichagui tena wale wenye raha ndo wako hatarini yaani ikitokea mmoja kalikoroga tu basi ujue kama sio gunia za mkaa basi mguu wa kuku utahusika kuondoa uhai wa mwingine.
 
Sio mimi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mie toka nimejiunga jf sijawai pata hiyo bahati na huenda siku ikitokea nitaanzisha thread kabisa.. Au nafail sijui wapi au kwakua sina gari ma nyumba kali
Hahahaaa. Lol.
 
Hawa jamaaa wanaroho ngumu sana,Nadhani wakati wa Jemedari Ndio walipewa Tender zakuwatia watu kwenye Sandarusi na kutupwa Baharini...RIP Mawazo
 
Hakika rafiki japo kwenye hizi mambo za kuuana siku hizi hazichagui tena wale wenye raha ndo wako hatarini yaani ikitokea mmoja kalikoroga tu basi ujue kama sio gunia za mkaa basi mguu wa kuku utahusika kuondoa uhai wa mwingine.
Rafiki, kuna chuki na wivu hivi viwili mnapo anza mahusiano lazima mvijue na namna ya ku control. Palipo na upendo wa kweli amani hutawala
 
Rafiki, kuna chuki na wivu hivi viwili mnapo anza mahusiano lazima mvijue na namna ya ku control. Palipo na upendo wa kweli amani hutawala
Sometimes havizuiliki rafiki nadhani kinachotupasa ni kujitahidi ikibidi kuomba kila uchwao ikitokea kuwa na namna bora ya kukabiliana navyo bila kudhuru wengine.

Ikibidi tujifunze kuwaacha waende.
 
Sometimes havizuiliki rafiki nadhani kinachotupasa ni kujitahidi kuwa na namna bora ya kukabiliana navyo bila kudhuru wengine.

Ikibidi tujifunze kuwaacha waende.
Ila pia kupima akili mala kwa mala maana siku hizi magonjwa ya akili yameongezeka unahisi wivu kumbe mtu akili imepuyanga tayari
 
Ila pia kupima akili mala kwa mala maana siku hizi magonjwa ya akili yameomgezeka unahisi wivu kumbe mtu akili imepuyanga tayari
Aisee!!

Hivyo mie nikapimage akili ee maana huwa nina wivu hadi saa ingine najichukia lol. πŸ˜‚πŸ˜‚

CC. BAK πŸ™Š
 
Kitu cha kujifunza ni kwamba nimegundua pia wanawake licha ya kwamba ni mama zetu lkn ni wapumbavu sana wamekosa weledi...acha wauliwe tu.
R.I.P
Tatizo naloliona hapa ni ile utii kwa dada zetu haupo kabisa hata kama amekosea bado anakuwa mkaidi anakutukana. Unadhani kunamwanaume wakumjeruhi mwanamke mnyenyekevu akikosea hayupo tatizo majibizano.
 
Aisee!!

Hivyo mie nikapimage akili mana nina wivu hadi saa ingine najichukia lol. πŸ˜‚πŸ˜‚

CC. @BAKπŸ™Š
Wivu ni adhabu , ukiwa umepitiliza hapo inabidi ukacheki afya ya akili rafiki usije mpiga mtu tukio πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Dunia inayumba watu wamekengeuka, bora ukutane na simba mla nyama kuliko binadamu.
 
Kuna watu wa hovyo sana. Kuua tu hajatosheka mpaka kukata kata vipande. Kanda ya ziwa ina historia ya matukio mengi ya kikatili, sijui sababu nini.
Sababu ushirikina mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]
 
Hujakutana nayo na omba yasitokee kwako

Hata yakitokea na umri huu tayari machweo yashaingia, watoto washakuwa na wanajielewa, Sidhani kama itakuwa sahihi kuanza vita na mwenzangu ambaye wote tupo kipindi cha pili .
Hapa ni kumcha Mungu na kuitafuta pepo ndicho kilichobaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…